Akitoa taarifa kujibu uzushi wa jarida mojawapo hapa Tanzania,Mtendaji Mkuu wa TanRoads Mha.Mohammed Besta amesema Awamu ya 6 inatejeleza Jumla ya miradi 77 ya Barabara za Lami na madaraja yenye...
Ndugu wanajamvi, katika pita pita yangu nimekutana na majina fulani fulani maarufu ambayo taasisi mbalimbali zimepewa, ambayo kusema kweli sijajua asili ya majina hayo, na nahisi huenda ni ya watu...
Habarini wana jamvi, leo ningependa kujua historia ya nchi ya Botswana kabla na baada ya uhuru, utawala wao upoje kabla na baada ya uhuru, na mpaka sasa hali ya yao kiuchumi, kisiasa na...
BULAWAYO, ZIMBABWE 1993
Angalia picha hapo chini niko Bulawayo chini ya kibao na nyingine kipo kibao kitupu.
Hiyo ambayo nipo chini ya kibao nilipiga Bulawayo mwaka wa 1993 na hiyo nyingine...
Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi.
Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao.
Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa.
Mara kwa mara...
Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU).
Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo...
Mwezi ulipita yaani September,ilitimia miaka 34 tangu kiongozi wa kanisa katoliki kwa wakati huo Papa John Paul II afanye ziara yake nchini.
Hakuna ubishi ya kuwa Papa John Paul II ndio Papa...
Future members wa forum hii [ambayo kwa sasa inaitwa Jamii forums]
Enyi mtakaojaaliwa kuishi miaka hii ya 2090.
Mjue tu, namimi
◇Nilizaliwa nikiwa kitoto kichanga
◇Nikakuzwa na wazazi hata...
Hakuna kitu kinachomweka Mtafiti katika hali ngumu kama pale anapoelezwa miujiza katika utafiti wake.
Hapa anakuwa katatazika kwa sababu mafunzo yake hayajamtayarisha katika hilo.
Mtafiti yoyote...
Sal Davis
An Autobiography
Sal Davis: An Autobiography with Mohamed Said
Sal Davis is the stage name and identity of the son of an Arab aristocrat Sharif Abdallah Salim of Mombasa. The life of...
Kabla ya kufa akiwa na umri wa miaka 40, kutokana na saratani ya tumbo, mbunifu na mwandishi maarufu Crisda Rodriguez aliandika:
1. Nilikuwa na gari la bei ghali zaidi ulimwenguni kwenye...
Daniel Arap Moi alivyomaliza miaka 24 madarakani bila mke
Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyekuwa na umri wa miaka 95 alifariki dunia Februari 4, 2020 katika hospitali ya Nairobi...
Na Vincent Mwakisyala
Wimbo huu wa usinipite ni moja kati ya nyimbo za kikristo maarufu sana Duniani. Na wimbo huu unaimbwa Na madhehebu karibu yote. Ni wimbo wa maombi, una ujumbe uliotulia, Na...
Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau.
Kwa mara ya kwanza nilishuhudia barabara za jiji la Dar zikipigwa deki.
Siku Obama anatua jijini ilikuwa kama siku ya kiyama, mji...
Historia
Shirley Graham Du Bois, Tanzania, na Ulimwengu: Mtu Tajikwa Kati ya Watu Mashuhuri Ulimwenguni
Kazi muhimu na michango ya wanawake katika jamii nyingi ulimwenguni mara nyingi hupuuzwa...