(1929 - 2024)
Hiyo taazia hapo chini niliandika majuma machache yaliyopita nilipopokea taarifa kuwa Sultan Jamshid kafariki.
Haukupita muda nikapokea taarifa kuwa si kweli yu hai.
Nilijisikia...
OPERATION BARRACUDA: "MISSION YA KIJASUSI" ILIYOKATISHA MAISHA YA PATRICE LUMUMBA, NA KUZIMA NDOTO YA UHURU NCHINI KONGO.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Thursday -17/1/2018
Marangu, Kilimanjaro...
Je! Waislamu walikoloniza Afrika kwa njia ile ile ambayo nguvu za Magharibi zilipokoloniza Afrika, inamaanisha kweli? Uislamu ulienea Kaskazini mwa Afrika, Afrika Mashariki, na Afrika Magharibi...
IJUE HAITI (nchi ya milima) NCHI YA KWANZA DUNIANI AMBAKO WATUMWA WENYE ASILI YA AFRIKA WALIFAULU KUPINDUA UTUMWA NA KUJIPATIA UHURU TAREHE 1 JANUARI 1804.
Na.Comred Mbwana Allyamtu...
Salaam wanahistoria!
Leo nilikuwa mahala fulani napiga soga na kiongozi mmoja wa Kanisa Katoliki. Soga zetu ziligusa maeneo mengi hasa Historia ya Tanzania wakati wa utawala wa Mwalimu. Kwa...
Wakati meli ya Titanic inazama ilikua imembeba Billionare John Jacob Astor IV, Pesa aliyokua nayo alikua ana uwezo wa kujenga Meli zaidi ya 30 kama hiyo ya Titanic, Titanic ilijengwa kwa mwaka...
Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, na katikati ya Bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of Arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918.
Wakati...
Wengi tumekua na kuambiwa na kusoma ya kwamba chifu wa kabila la Wahehe Chifu Mkwawa aka Mkwavinyika Mwamuyinga baada ya kuzidiwa katika vita yake ya mwisho dhidi ya Wajerumank basi alijiua...
Leo jioni nimepokea mgeni adhim kupita kiasi niliyekutananae akiwa mtoto mdogo akisoma shule ya msingi.
Mtoto huyubalikuja nyumbani kwangu kaletwa na baba yake.
Ilikuwa asubuhi moja mwaka wa...
Sijawahi kuuona mjadala wowote unaopinga historia ya Sheikh Mohammed Said. Sio Nkuruma Hall, sio katika kumbi nyengine za wasomi, ukiondoka hapa Jf ambapo watu wanajificha nyuso zao ndio...
FEB
22
Dondoo hizi zimechukuliwa kutoka kitabu cha Amani Thani Ferooz, Ukweli ni Huu, Mzanzibari na kiongozi wa Chama cha Wazalendo wa Zanzibar (Zanzibar Nationalist Party) katika miaka ya...
Mary Mallon alizaliwa mwaka 1869 huko nchini Ireland. Mama yake akiwa na mimba yake alipatwa na ugonjwa wa Typhoid. Hili likamfanya Mary awe na maambukizi ya wadudu wa Typhoid ambao waliishi...
BUSATI LA MTORO
Nashindwa kufikiria nini kitakuja baada ya Busati la Mtoro.
Msikiti umejaa.
Watu wengi wamekuja wamejazana kusikiliza darsa.
Busati linawazungumzaji mabingwa wa fani zao kuanzia...
Historia kamilifu ya Marehemu Brig Nyirenda.
Mwalimu Julius Nyerere alisema, Meja Alex Nyirenda akatenda. Mpira ukarudi tena kwa Nyerere ambaye safari hii alifanya kweli kuhakikisha kwamba...
Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan...
Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza...