WHEN WE WERE KINGS: NYERERE'S LETTER TO RONALD REAGAN dated 07 June 1982, a letter which shed a light on Tanzania influence on global politics and diplomacy since its independence. .
Also in this...
MONTAZA PALACE ALEXANDRIA 1988
Leo asubuhi nimeingia Maktaba na kukuta picha ya Montaza Palace.
Nilifika Montaza Palace kusali sala ya Ijumaa mwaka wa 1988 nilikuwa kwenye kozi mjini Akexandria...
*JARIDA MARDHAWA*
LEO TUPATE HISTORIA YA WAKOROFI WALIOPITA.
" HUYU NDIYE ILICH RAMIREZ SANCHEZ " CARLOS THE JACKAL " GAIDI ALIYEITIKISA DUNIA KWA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI (20yrs)."
" Carlos...
Naweka hapo chini kipande kutoka katika mswada wa kitabu cha maisha ya Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism,'' kipande ambacho Ally Sykes anaeleza mauaji ya Lumumba yalipotokea...
Ni mmoja kati ya binadamu wachace kutembelea au kukanyaga ardhi ya karibu kila nchi hapa duniani,
Alipata kusoma nje ya nchi,Makerere kabla hajawa rais,
Akiwa Rais na akiwa mwenyekiti wa chama...
Huyu waziri wa mambo ya ndani mh. Kangi Lugola safari hii polisi na raia walitegemea mambo makubwa sana kutoka kwake matokeo yake yeye kila siku anadili na polisi tuuu mara kwenda vituo vya...
Kushoto: Mzee Bilal Rehani Waikela na Sheikh Ponda Issa Ponda nyumbani
kwa Mzee Waikela Tabora
Leo nilitembelewa na Mzee Bilal Rehani Waikela, mwasisi wa TANU Tabora 1955 na Katibu wa EAMWS...
KING OF THE JUNGLE!
Nafyetukaa fyeeeeeeee kama mshale unaenda kwa kasi kumuua swala!!
Ebanaeeee
Huyu msuquma akipita tena itakua fedheha!!!
Kwanini anatuchukulia poa hivi?! Ebanaaaae huyu mzeee...
Pamoja na kwamba Marekani wameendelea sana walishaziacha siku nyingi.
Tarehe 13 May 2019 wameamua kufufua train yao kubwa wakati huo inaitwa Union pacific big boy 4014 ambayo mara ya mwisho...
Kipindi cha miaka 1800 wakati wa ushindi wa Napoleon huko Misri ulifungua historia ya Misri kwa Wazungu. Wakati huo, mumian hawakupewa heshima waliyostahili kutoka kwa wasomi wa Ulaya na kwa...
Moja wapo ya siri kuu sana ya vita vikuu vya kwanza na vya pili vya dunia, ili kuwa ni kutengeneza njia ya kuunda taifa la Israel la siku hizi.
Kabla ya WW I Ottoman empire ilikuwa ina dhibiti...
Nimebahatika kuwajua wazalendo hawa watatu ambao nimeandika historia zao katika TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika.
Tewa Said Tewa mbali ya kuwa waziri katika serikali ya Tanganyika baada ya...
Wakati wa Muhammad Ali na Sony Liston ulikuwa wakati wangu pia.
Mwaka ni 1964.
Nina umri wa miaka 12 baba yangu kapiga simu nyumbani ananitafuta.
Nilipopokea simu akaniambia, "Rafiki yako...
https://unitedwithisrael.org/the-ethiopian-mossad-agent-who-helped-save-ethiopian-jewry/
Miaka 40 tangu kundi la Waithiopia kuingina katika ardhi takatifu historia yaowinajitokeza. Kuna...
Habari ya mda huu wana janvi.
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, ungana nami AlsenetaSir katika kisa hiki cha rubani aliyeiba ndege vita ya Usovieti ya zamani ...
Mwalimu Nyerere alikuwa, ''brilliant orator,'' na akikijua Kiingereza vyema.
Nimesoma barua zake katika Nyaraka za Sykes na kuna hii moja niliyoipenda sana ya 1954 mwezi mmoja baada ya TANU...
FUTARI NYUMBANI KWA MAREHEMU HAMZA AZIZ SIKU ALIYOWAELEZA WAGENI WAKE KISA CHAKE AKIWA INSPECTOR GENEAL OF POLICE ( IGP) ALIPOKATAA KUTII AMRI KUTOKA JUU
Kuna rafiki zangu watu maarufu katika...
#TUJIKUMBUSHE
Ukiambiwa Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa balozi nchini Misri akiwa na miaka 22 halafu ukalinganisha na vijana wetu wa leo wenye elimu na umri huo utaona km vile tunarudi nyuma...