EDWARD MORDRAKE BINADAMU MWENYE SURA MBILI ALIYEISHI KARNE YA 19
By Mfalme Mastories
NI vigumu kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo! Edward Mordrake ni Mwingereza mashuhuri wa karne ya 19 ambaye...
KANALI KASHMIR NA KANALI MAHFOUDH WALIVYOSAIDIA KUPATIKANA KWA UHURU WA MSUMBIJI
Na. Simon Noel
Jeshi letu la wananchi wa Tanzania JWTZ limetimiza miaka zaidi ya hamsini sasa huku likiwa na...
Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko...
Ureno kwa nchi za Afrika Mashariki iko pembe ya mbali sana na mbele ya kaskazini magharibi ya Afrika.Hata hivyo eneo hili la Afrika limejaa historia inayofungamana na Ureno kuanzia Kenya mpaka...
Luteni Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha Marekani.
Ameandika historia kwa kupaa angani kama...
Henry VIII might be famous for killing two of his wives, but there was a lot more to the life of this early modern monarch than marital madness. So just who was Henry VIII? A superior athlete, a...
"Shikamoo" limekuwa ni neno linalotumika kuonesha heshima baina ya watu. Desturi na tamaduni za Afrika mashariki hutumia neno hili kama salamu ambapo anayeitikia husema "Marhaba".
Pengine umewahi...
Mnaemuita firauni ni babu yenu, wa asili! alikuwa ni Mweusi tii!! jina lake aliitwa Mkuu Ramesses wa II au Sese.
Nimekuwa nikiona habari kutoka kwa watu, kuwa mwili wa Ramesses ll huwa ukizikwa...
NANI ANAWAKUMBUKA BANTU GROUP WAHAMASISHAJI WA TANU NA WALINZI WA MWALIMU NYERERE?
Bantu Group lilikuwa kundi la vijana wanachama wa TANU waliokuwa wahamasishaji wa TANU na walinzi wa viongozi na...
A beautifully preserved footprint from Engare Sero, Tanzania.
Credit: William Harcourt-Smith.
Credit: Beth Harpaz
''Paleontologists “are as much detectives as they are scientists,” said...
HISTORIA YA UDHALIMU IKIHIFADHIWA NI SILAHA KWA ALIYEDHULUMIWA NA HUWA FUNZO JEMA KWA DHALIMU
Mgahawa mpya ulitangazwa kuwa utafuguliwa tarehe kadhaa na ukawa unafanyiwa matangazo katika gazeti...
Historia ya Rajab Ibrahim Kirama haikupatwa kuandikwa kwa mfumo wa mathalan wa kuwa na sura ya mswada.
Hata hivyo simulizi ya maisha yake imehifadhiwa kichwani na wengi katika ukoo wake wa Nkya...
Wakuu,
Kama kuna anaejue ni nini hasa kilisababisha ugomvi kati ya hawa wazee wafuatao vs. Mwalimu Nyerere naomba atujulishe kwa historia fupi - kwa yoyote uijuayo. Na mwisho wa siku matokeo...
Alizaliwa Mombasa,akakulia Bukene Tabora.Akasoma India na akaoa binti wa familia ya kitajiri.Mfanya biashara mkubwa,mtu wa watu Andy Chande alikuwa mwanachama wa Freemason wenye heshima ya pekee...
DOUBLE AGENTS NGULI WANNE KUWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UJASUSI
Mustakabali wa taifa lolote lile hutegemea pamoja na mambo mengine mifumo ya ulinzi, kwani hii ndio nguzo mhimu katika...
LEO NDIYO SIKU ALIYOULIWA MALCOLM X
MALCOLM X alikuwa hero wangu toka udogoni na nimekisoma kitabu cha maisha yake alichoandika Alex Hailey nikiwa na miaka labda 15/16.
Nilipofika New York...
Jioni ya Ijumaa ya tarehe 13.8.1925, huku mvua kubwà na radi kali zikirindima kijijini Kwambe, wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma, alizaliwa mtoto wa kiume akiwa buheri wa afya. Wazazi wa mtoto huyo...
WASIFU WA JULIUS NYERERE: MATATIZO BADO YAPO KATIKA USAHIHI WA HISTORIA YA TANU
Mwananyamala nje ya nyumba ya Mzee Mwinjuma Mwinyikambi kumeweka kibao kinachosema kuwa TANU iliasisiwa ndani ya...
Wakati huu tunapojadili rasimu ya kwanza ya katiba kuna kitu nimekiona leo kikanikumbusha swali ambalo nimekuwa nikijiuliza kimoyomoyo. "Nyerere alikosea kuiunganisha zanzibar na tanganyika?"...
Historia ya Burundi ni ndefu sana, nimeielezea vizuri kwenye kitabu changu ambacho huenda mwezi ujao kikawa tayari (Inshallah). Jiandae kusoma uchambuzi yakinifu kuhusu siasa zetu za ndani na za...