Ni hali ya kusikitisha kuona kwamba mkuu wa JKT leo katoa orodha ya shule chache ambazo wahitimu wao wa kidato cha 6, mwaka huu 2013 watajiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. Mtindo huu umenipa...
Tafadhali Wadau,
Naomba kuulizia maajenti wa vyuo mbalimbali vya nje waliopo Tanzania. Lakini wale ambao ni waaminifu na wanawakilisha vyuo ambavyo vinatambulika.
Walimu wapya 28,638 sasa
kupelekwa vijijini
Na Godfrey Mushi
19th November 2012
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufunzi, Philipo Mulugo
Serikali imetangaza mpango mpya wa ajira za...
Ni muda mrefu tumekuwa tuna zungumzia sayansi hapa Tanzania lakini nimegundua kuwa hatuizungumzii sayansi katika mazingira ya kuwa pata wanasayansi na wavumbuzi wa kisanyansi bali tunazungumzia...
HUYU JAmAA ANAYEJIITA MAKAMUZI ALIWAHI KUNIWEKEA THREAD NIPIGWE BAN ,NDIPO HAPO TUKAINGIA KWENYE UGOMVI ULIOCHUKUA MIEZI SITA ,KWA SASA HUYU MAKAMUZI NI RAFIKI YANGU KWA SABABU AMENIOMBA MSAMAHA...
Chuo cha IFM kuhamishiwa Msata katika Mkoa wa Pwani baada ya kupatikana eneo la kujengea la hekari 1500. Waliozoea kufuata mabinti wa IFM itabidi kuwafungia safari hadi Msata ujenzi...
Katika mijadala mingi na mikutano ya Viongozi na wafuasi wa ccm,wamekuwa wakitolea mifano eti wamefanya maendeleo katika elimu na miundo mbinu ya barabara hivyo kuwataka wananchi waendelee...
Leo nimekutana na watu njiani wanazungumza maneno yafuatayo kwenye simu: " Nasikia huko nyumbani Mvua inanyesha KINYAMA, wee Juzi ndiyo ilinyesha KISHENZI, nasikia na kijiji cha jirani...
Nasikitika sana hapa ninapo andika hiki ninachokiandika, kuna baadhi ya wanafunzi wa chuo cha udom tangu wafungue chuo hadi leo zikiwa zimebakia siku chache wamalize semester bado hawajawekiwa...
Result letter for November 2012 Examination will be issued effectively from Wednesday,9th jan.2013 at Mhasibu House Room no.S.04,Library Block,Ground floor from 9:00am_4:00pm.
congratulation to...
Nimepokea ujumbe huu kupitia simu yangu ya mkononi. Ni ujumbe unaoweza kuchukuliwa kama masikhala lakini ni hatari sana kwa mustakabali wa elimu yetu, hasa watoto wa wakulima tunaotegemea shule za...
Waalimu ndg zangu nawauliza ni kweli mlirudi kazini au abrakadabra na mazingaombwe mlioyafanya? Kwanza kabisa nauliza hivi kwa sababu sioni kabisa dalili za nyie kuwepo kazini kwani picha halisi...
New Scholarships and Awards for MPP candidates
The School was delighted to announce in December a number of new scholarships and awards available to Master of Public Policy students...
Katika mijadala mingi na mikutano ya Viongozi na wafuasi wa ccm,wamekuwa wakitolea mifano eti wamefanya maendeleo katika elimu na miundo mbinu ya barabara hivyo kuwataka wananchi waendelee...
Wana jamii forums na wadau wa elimu, kwa heshima na taadhima ninawakaribisha katika chuo chetu cha The Arusha East African Training Institute (TAEATI).Tafadhali soma maelezo zaidi hapa chini bila...