Here is a new page that gives YOU a chance to share what is happening in your community.... No offensive, you are all welcome. :A S-heart-2: https://www.facebook.com/TheNativecorner
Kashfa nzito
"wanafunzi walichora vekaragosi, yakiwemo matusi, mashairi ya bongo fleva, na wengine kuandika kuhusu mapenzi"
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaweza kukumbwa na kashfa kubwa...
Kwa haraka haraka baadhi ya wasomi,wanahabari,maafisa elimu na wananzengo wa Tanzania wamejadili kuhusu matokeo wengi wameelekeza lawama kwa wanafunzi lakini mimi kuna kitu nakifuatilia sana...
:nono: DISCOVERED DISCREPANCIES IN THE RECENT NEW TEACHERS EMPLOYMENT ANNOUNCEMENT
(2012/2013) PUBLISHED IN THE MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING WEBSITE :nono:
The following...
Habari za muda huu mwana jf,nimekuja hapa mbele yako kutaka kufahamishwa kitu kimoja,nataka kujua kama mtu ambaye anasoma diploma ya engineering hapa nchini anaweza kupata sponsor wa kudhamini...
Ephraim Kibonde, mtangazaji wa Clouds FM kipindi Jahazi.
Hivi, kuna mtu huwa anamuelewa anisaidie na mie kumuelewa!
Mie nadhani huwa anatumiwa na wanasiasa, si bure...
Nimefuatilia sana kipindi...
Baada ya kusoma uchambuzi wa Kigwangala kwenye -- kutoka wanajamii, napata hoja kuwa Slaa anapaswa kujibu na kujieleza kuhusu usomi wake -- unaodaiwa hapa chini kuwa ni wa kitaa.
Ajibu ama...
binafsi pamoja na matatizo ya serikali yetu kuwa makubwa hasa katika sekta ya elimu maana kuyaondoa tumeshindwa ...tunapiga kelele mwisho wa siku serikali ile ile isyo na dira katika elimu...
Gumboro ni ugonjwa wenye maambukizi makubwa unaowapata kuku wakionyesha dalili kuu kama viungo kuvimba, kuuma, kushindwa kufanya kazi, na kupungua kwa basa kadri muda unavyoendelea. Ugonjwa huu...
Habari zenu wana JF,
Hapa nitaelezea kwa kina mbinu wanazotumia shule nyingi za binafsi ambazo huwa zinafanya vizuri.
Mimi binafsi nimesoma shule ya Feza Boys miaka kadhaa iliyopita na kwa sasa...
Heshima mbele wana JF.
Nina mdogo wangu amemaliza form 4 juzi, lakini ni mmoja kati ya hao 67% waliopata Div 0, yaani ana point 34!!!!. Hii ni hatari sana kwake, hasa kwangu, maana mimi ndio...
Wanabodi,
Naomba kuanza kwa kudeclare interest, mimi ni mhanga wa matokeo haya mabaya ya Form IV, nilikuwa na vijana wangu wawili, ambao walichaguliwa kujiunga na shule za kata, wife akashauri...
Ndio kila mtu kasikia juu ya uozo wa matokeo haya ya vijana wetu. Kwa kweli nchi ipo njia panda kuhusu elimu. Pamoja na uozo huo wa matokeo kilichonishangaza ni matendo au majibu yanayotolewa na...
MKURUGENZI GREEN ACRES
AFICHUA SIRI NZITO
na Betty Kangonga
WAKATI mjadala wa matokeo
mabaya ya kidato cha nne
ukiendelea kulitikisa taifa,
kashfa mpya ya matokeo hayo
imeibuliwa.
Kashfa...
Ni makosa na haikubaliki kufanyia utafiti jambo ambalo sababu/majibu yake tayari yapo na yanafahamika kwa watu. Mfano huhitaji kufanya utafiti wa kugundua kwanini unasinsia mchana darasani ili...
Sisi tulio pigwa kiboko leo tunajua umuhimi wa kiboko
leo wanafunzi mashureni kwa utovu wa nidhamu ni hali tata na ni zaidi ya walimu sababu kubwa mwalimu hawezi kumgusa mtoto
hawa watoto...
Kuanzia mwaka huu mtihani wa kidato cha pili umerejeshwa kwa lengo la kuchuja watakao ingia kidato cha tatu wawe wamefikia kiwango fulani cha ukomo wa alama za ufaulu.Mpango huu umeingizwa katika...
Wanajamvi naomba mnisaidie kwa mawazo huyu ni mdogo wangu ameangukia division four ya point 26 na amefanikiwa kupata C mbili tu za chemistry na biology ila physics ana D na yeye ndoto zake ni...