Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mgoyangi, May 25, 2011.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Baada ya kusoma uchambuzi wa Kigwangala kwenye -- kutoka wanajamii, napata hoja kuwa Slaa anapaswa kujibu na kujieleza kuhusu usomi wake -- unaodaiwa hapa chini kuwa ni wa kitaa.

  Ajibu ama vinginevyo hana tofauti na usomi wa akina Salmini Amour na Mugabe na kama ndiyo kweli hana hoja za kuwacheka wengine. Kwa hakika anapaswa kufafanua!

  From: Dr. Hamisi A. Kigwangalla
  Sent: Wed, 25 May, 2011 11:36:39
  Subject: Re: Ujio wa CHADEMA Iringa: Tafsiri Yangu

  LESSIan Mollel, for goodness sake I am an academic, I never talk factlessly!

  Ninaposema amesomea mambo ya dini sibahatishi, kama kuna mwenye taarifa sahihi
  zaidi ya hizi nitakazozitoa hapa chini basi na azilete hapa. I dont hate the guy
  but these are facts and for upright people like me (Tundu Lissu knows my
  history) we always stand for the truth.

  I never fear the consequences of my actions as long as I believe in something...I used to be a great fun of Slaa when he was MP, but slowly I begun to see how low and insufficient he was for a President!

  I lost interest even in listening at him. I am fond of revolutionaries, like Sankara, Lumumba, Gandhi, X, Nyerere, King Jr and even
  recently Obama, but he is never even an inch close to being a charismatic leader of our times in this country!

  He wouldnt even appeal to common people and convince them to vote for him, analijua hili na ndo maana anataka kuleta vurugu
  kwa kauli za kichochezi, anadhani hiyo ndiyo itakuwa shortcut yake ya kwenda ikulu.

  Bora hata young people like Lissu, Zitto, Mnyika, Wenje ninawaona wana-appeal na wanaweza hata kuja kutusumbua huko mbele kama wakijipanga vizuri na 'wakipewa' nafasi!

  Huyu hapa ndiyo:

  Willibrod Peter Slaa (J.C.D., ikimaanisha Juris Canonici Doctor) ambayo aliipata kutoka

  The Pontifical Urbaniana University.
  Date and Place of Birth: 29.10.1948,Kwermusl,Mbulu,Tanzania.

  EDUCATION:
  PRIMARY: 1958-1961 Kwermusl
  1962-1965 Karatu Middle School.

  SECONDARY: 1966-1969 Dunguyi Seminary
  1970-1971 Itaga Seminary

  PHILOSOPHY:
  1972-1973 Kibosho Seminary

  THEOLOGY:
  1974-1977 Kipalapala Seminary
  1974-1976 Makerere University,Diploma,Theology Alisoma Kipalapala, Tabora na
  Makerere mwaka huo huo mmoja!

  HIGHER EDUCATION:
  1979-1981 Pontifical Urbanian University,Rome,JCD(summa cum laude) Doctor gani ya kusoma miaka miwili, na hapo hatujajua ni miezi gani aliingia, inawezekana ni chini ya miaka hii miwili inayoonekana hapa kwenye Bio yake! Hana Digrii ya Kwanza, wala ya Pili, Hiki Chuo kinachukua wanafunzi walio below standards kuingia kusomea masomo ya level ya tatu?

  Elimu ya Slaa, hata hiyo hiyo ya Sheria ya Dini ina Mashaka makubwa. Kumbe hata Sheikh au Ustadh yeyote yule anaweza kupewa Honoris Doctor na kuomba Urais na akatuongoza kwa kutumia elimu yake ya kitaa na ile ya sheria za dini (Islamic Jurisprudence).

  Kweli watanzania wasitupe Big G yao mdomoni kwa kupewa karanga za kuonjeshwa! Na tutaanza kazi ya kuwaelimisha watanzania kuhusu hii falsafa.

  Bora hata huyo JK mwenye BA kutoka chuo kinachoeleweka na Honoris Doctor na Honoris Magister zilizowazi na kutoka vyuo vinavyoeleweka.

  Kisha uzoefu na exposure ya JK kiuongozi na kidiplomasia ni kubwa sana kuliko huyu Bwana Slaa wenu mnayemfagilia sana kuwa ni msomi!

  1980-1980 ADV.Diploma-Socio-Political Studies,Koln,Germany(KAF) Advance diploma gani ya kusoma Mwaka Mmoja?

  1981-1981 St.Thomas Aquinas University,Rome,AD.Diploma Rural Development Advanced Diploma gani hii nayo tena?

  1985-1985 London COR.College, Principles and Practice of Management Certificate.

  >>>>Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church.


  It may also be abbreviated I.C.D. or dr.iur.can. (Iuris Canonici Doctor), ICDr., D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws (i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque Juris Doctor).

  A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional study and the development and defense of an original dissertation that contributes to the development of canon law after having earned the degree Licentiate of Canon Law. Only pontifical universities and ecclesiastical faculties of canon law may grant the doctorate or licentiate in canon law.

  The Licentiate of Canon Law is a three-year degree, the prerequisite for the study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theology (S.T.B.), a master of divinity (M.Div.), a master of arts in Roman Catholic theology (M.A.), or a civil law degree (J.D. or LL.B.) and a bachelor degree in canon law (J.C.B.) or its relative equivalent.

  While not a civil law degree, the doctor of canon law is in some ways comparable to the Doctor of Juridical Science (J.S.D.) or doctor of laws (LL.D.) in terms of academic level of study as they are terminal academic degrees.

  >>>>The Pontifical Urbaniana University, is an academic institution belonging to the Congregation for the Evangelisation of Peoples. The University provides for research and teaching within the framework of the Holy See's educational system regulated by the Congregation for Catholic Education.


  The origins of the Urbaniana date back to 1st August 1627, when Pope Urban Urban VIII decided to establish the Urban College with the Bull Immortalis Dei Filius, which was the very first educational institution within the Congregation De Propaganda Fide.

  The origins of the university date back to Pope Urban VIII who decided to establish the Urban College with his papal bull Immortalis Dei Filius (August 1, 1627). The Pontifical Urbaniana University was endowed with the title "Pontifical" with the motu proprio Fidei Propagandae of Pope John XXIII, on October 1, 1962.

  From its beginnings, the Urbaniana has always been an academic institution with a missionary character that has served the Catholic Church through the formation of missionaries and experts in the area of Missiology or other disciplines, necessary in the evangelizational activity of the Church.

  Since 1966, the Urbaniana has accepted the affiliation of Seminaries and Institutes of Philosophy, Theology, Missiology, and Canon Law from all over the world.

  The university had about 1400 students in 2004.
  The university, which is located on the Janiculum Hill in Rome, has four faculties: the faculty of Theology, the faculty of Philosophy, the faculty of Canon Law, and the faculty of Missiology.

  The university's mission is to train priests, religious brothers and sisters, and lay people for service as missionaries.

  While the university is owned and operated by the Congregation for the Evangelization of Peoples, whose Prefect (currently Fernando Filoni) is ex officio the Chancellor of the university, as a center of higher education it is regulated by the Congregation for Catholic Education.

  Naomba kuwasilisha.

  Wakatabahu,
  HK.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Slaa bonge la bomu! :hatari: :hatari:
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ujinga mtupu...Midanganyika bwana yaani hamuachi UDINI kwa kuandika Upupu kama huu? mnatia kinyaa na aibu kubwa hata kwa jinsi mlivyoelimika.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kigwangala nae kumbe bomu tu eh?
  alitaka Dr.Slaa aende madrasa kama yeye?
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Duh mkuu ulivyokomaa kutafuta degree za watu!

  Tatizo ni nini hasa, sijakuelewa bado, kwani PhD ili uwe nayo lazima ipitie vigezo gani? is it universal standard? acha utumwa mkuu....
   
 6. T

  TULIBAHA Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Endelea kuponda we kigwangala ten ukichoka go to heal. We rais wako unajua elimu yake?
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  kwahiyo umaskini wa Watanzania unasababishwa na USTAADHI WILBROD SLAA?
   
 8. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Hamis Kigwangalah,acha unafiki,hoja ni kuwa wewe ulishinda kwa kuchakachua na ndio maana unatumia kila aina ya siasa kuwatetea hao waliokuweka hapo ulipo,na threat yako ni Dr Slaa
  haya wewe mwenye degree umedeliver nini?
   
 9. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha upuuzi wewe, jenga hoja za msingi achana na ishu za umbea, sis tunadeal na watu ambao wanaweza kusimama mbele za watu na kujenga hoja za msingi. Dr. Slaa daima tutaendelea kumheshimu na hatuwezi kudeal na wendawazimu kama wewe. mlikuja na suala la ukabila, mara dini, mkaona bado mmnaenda chaka sasa mnakuja na hili la kipuuzi kama hili. tunakuheshimu mzee nenda ukaangue nazi ule madafu na upumzishe akili yako, achana na haya mambo kabisa
   
 10. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sijui mtadai nin tena juu ya Dr. Slaa. Eti Dr. Slaa anavaa nguo fake. Tusubiri
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/114133-mbona-watu-hawahoji-kuhusu-cv-ya-huyu.html


  I wrote this,

   
 12. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Doctorate yake si ya kupewa,ila siyo doctorate ambayo ipo traditional kama watu wanavyofikiri,mapadre wengi sana wana doctorate.Doctorate degrees huwa hazina maana sana,kwa kuwa ni degree ambazo mwanafunzi hujitafutia elimu mwenyewe!...viongozi wengi wenye PhD huwa wanazificha mfano Blair,condoleeza rice etc.....huku kwa wenzetu kuwa na Phd si jambo la sifa kama mnavyofikiria!!
  MY VIEW
  Hana PhD.
   
 13. g

  gepema Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukicheka na nyani utavuna mabua,kigwangala aliyebebwa juzi leo nae anaongea! Kweli hii ni jamii ya kambale hata ukizaliwa leo tayari unasharubu!!!
   
 14. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Mnahangaika na kuweweseka sana...hamna maana wewe kigwangala umegushi hata jina bado unaruka na majungu tu...ovyooo...sisi tunamwamini slaa he is by far better kuliko CCM yote...
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Na madrasat nazo tuzijadili huwa zinatowa Doctorate? kama mnaona kuitwa Dr ni ujiko basi jifikirieni mara mbilimbili maana Augustino Mrema nae anaitwa Dr.
   
 16. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Wewe bonge la jivu
   
 17. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Lakini bwana Kigwangala unapaswa utambue Kanisa Katoliki halibahatishi katika Elimu..hilo lipo wazi. kwa maana hiyo sidhani kama vyuo vyake vinaweza kutoa incompetent education..na hadhi ya elimu ya vyuo vya kikatoliki inaheshimika kote duniani.. na hasa upande wa Filosofia na theology.. ndo maana hata CIA walipotaka kupenyeza mambo yao VATICAN walichemsha licha ya kuruhusiwa kuingia na kudhibitiwa kitaaluma kwa welcome to the school of thoughts...
  Anyway, nachomaanisha hapa huwezi kulinganisha Phd za vyuo kama Muhas na "The Pontifical Urbaniana University". kwa namna yoyote ile...
  ACHA DHARAU ZAKOP ZA KIPUMBAVU BWANA HAMIS mzee wa kuchakachua majina.....
   
 18. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  ingekuwa vyema kama mwandishi wa huo ujumbe sina hakika kama ni hamisi k. Kigwangalla
  mwenyewe angeandika kiswahili tuu badala ya kuanza kuchapia lugha ya wenyewe.

  sasa kinachohojiwa hapo ni nini hasa? je ni aina ya doctorate? au muda aliochukua kusomea hiyo
  doctorate? au chuo alichosomea hiyo doctorate? au muda aliochukuwa kusomea advanced diploma?
  kwa maana kama ni chuo mbona maelezo yaliyotolewa chini baada ya cv ya dr. slaa yanaeleza kwamba
  hicho chuo kinatambuliwa kutoa aina hiyo ya doctorate, kama ni muda wa advanced diploma naamini hata hapa nyumbani kuna vyuo vinatoa advanced diploma kwa mwaka mmoja, kama ni muda (miaka miwili) hiyo taarifa iliyoletwa inaeleza wazi hiyo doctarate inaweza kusomewa kwa miaka miwili.
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Jibu ni rahisi sana, kila Mtanzania anajuwa aliyepewa Doctorate bila kwenda darasani ni Jakaya Kikwete hilo halina ubishi. PERIOD.
   
 20. Shayu

  Shayu Platinum Member

  #20
  May 25, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 180
  Tujiulize swali ni nini chanzo cha elimu? ni kweli wasio na degree hawana akili? hawawezi kuongoza? hii notion sio kweli kabisa! wasomi wa nchi hii wameifanyia nini tanzania zaidi ya kuinua mabega na kujitapa na kuwa wezi! ni nini cha maana wamefanya? hadi leo barabara zetu zinajengwa na watu toka nje, embu niambie nyie mnaojiita wasomi mliokosa uzalendo mmelifanyia nini taifa hili zaidi ya kuwasaliti maskini waliowasomesha kwa kodi zao! Uzalendo haumo mioyoni mwenu, wala rushwa wakubwa! Embu nenda kwenye library za nchini kwetu niambieni ni vitabu vingapi vimeandikwa na watanzania? wanaojiita wasomi? enyi receptive mind msiofikiria! tunahitaji kiongozi mwenye busara na mwenye uwezo mkubwa wa kutafakari, wasomi ni watu wa kutumiwa tuuu, ni lazima wawe chini mwenye kutafakari.
  UKILETA VIGEZO HIVYO UTATAKA KUNIAMBIA MAPROFESA NDIO VIONGOZI WAZURI! NAQ HIYO SIO KWELI ENHE KIGWANGALA ULIEANZISHA MGOMO MUHIMBILI!
   
Loading...