Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Matumaini ni makubwa leo!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana. Matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, yameendelea kuitikisa sekta ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
  • Closed
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimesikia Ya Kwamba Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo July 1 2013 Je Ni Kweli Wana Jf? Chanzo: http://www.tanzania.go.tz/matokeo03.htm
0 Reactions
36 Replies
13K Views
“Mara zote ambazo CWT ilipanga kuanza mgomo, azma yao ilikatishwa na amri ya Mahakama ama mazungumzo baina ya chama hicho na serikali.” Kwa muda mrefu sasa Serikali imekuwa kwenye mgogoro wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi kuna taarifa zimenifikia muda si mrefu kuwa inawezekana kabisa mkuu na makamu wake kuondolewa chuon kwa kile kinachosemekana utendaji mbovu na ufisadi. Wanachuo waligoma wiki...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Licha ya kuwa mataifa mengi yamesaini mikataba mbalimbali ya kimataifa ya kuhimiza elimu kwa wote wanaostahili, mamilioni ya watoto, vijana na watu wazima wamekosa haki hiyo kutokana sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
“Katika shule na vyuo vingi kitengo cha maadili kimekufa, wengi wamebaki na kitengo cha Weledi Wa Akili (Mental Intelligence).” Utaalamu pasipo maadili ni sawa na gari linalotembea usiku likiwa...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Simiyu- Imani za kishirikina ni tabia kongwe ambayo imekuwa ikiendelea katika jamii mbalimbali nchini ikiwamo mkoa mpya wa Simiyu. Kutokana na imani hizo, wazazi au walezi wameshindwa kushiriki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
PADRI Daktari Charles Kitima alipoteuliwa kuwa makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Agustino (SAUT), Mwanza mwaka 2004, hakuna aliyekuwa na wazo kwamba miaka kumi ya uongozi wake angeweza kufanya...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Tcu
Hivi vocha za tcu ndo haziuzwi tena?
0 Reactions
1 Replies
734 Views
wakuu mliotutangulia naomba mnifahamishe napaswa kuandaa sh. ngapi ili kuanza form 5 kwa makadrio ya gharama zote make mda ni kidogo mno. nitashukuru
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Hi wana JF, Ningependa kujua tunapoongelea au kusoma historia mara nyingi utakutana na neno mwaka ...... BC. Ningependa kujua ni mwaka upi hiyo BC ilianza? Kwa sababu miaka hii tuliyonayo najua...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Matokeo Haya Naweza Kusomea Nini Na Chuo Gani Matokeo Yako Hivi Hist-c Bio-c Geo-d Kisw-d L-c M-f Civ-d Div 4-26 Naombeni Msaada Wenu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jamani naombeni msaada wa vyuo vya diploma ya clinical officer kwa hapa mbeya na kwingineko
0 Reactions
1 Replies
871 Views
TuKATAE TUKUBALI UGUMU WA HIZI TAALUMa ZA ENGINEERING ,LAW NA MEDICINE HUWEZI KUFANANISHA NA TAALUMA ZA AJABU AJABU KAMA HUMANRESOURCE ,SOCILOGY, MASSCOMM, NDO MAANA NASEMA BACHELOR YA...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Back
Top Bottom