Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ni matumain yangu wengi hapa jukwaan tumeshawaita walimu kadhaa majina ya utani, au wengine tumepewa hayo majina. Kama vipi TUKUMBUSHANE KIDOGO hapa ni JINA GAN UNALOLIKUMBUKA na KWA NINI?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hivi matokeo kwa wale tulio tuma maombi vyuo vya afya lini?
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
BOT sasa wanatoa scholarship kwa wanafunzi mtaopangiwa course za economics ,math,accoun na finance na hata kwa wale watao taka masters...kwa nyie mliomaliza 6 ,lazma uwe na div 1 na uwe umepata A...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
jamani mimi nimoja wapo ambao tunaye subiri 3rd selection from NACTE.jamani tuombeane wadau
0 Reactions
10 Replies
3K Views
NACTE wanaonyesha udhaifu mkubwa sana kana kwamba hawawezi kazi:mfano: wana applicants wachache kuliko wale wa TCU lkn 1.mpaka sasa hawajafanikiwa kutoa majina wanafunzi wote waliopata vyuo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.Je kwnn kisu kikali kinakata kwa urahis kuliko kisu butu? 2.Kwnn matank ya maji meng yametengenezw kw rang nyeus? 3.Kwnn meli inaelea ktk maji na sarafu(coin) inazama? Kw leo hayo yanatosha...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwamujibu wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo elimu ya juu,ni kwamba mwaka wa masomo 2013/2014,bodi inategemea kuwakopesha wanafunzi 98025.kati ya hao,wanafunzi 35649 ni mwaka wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
2pia coz gan unaenda kusomea ili 2juane mapemaaaa ! ili 2kifika huko 2sihangaike huwez jua 2naweza 2kawa hata room moja,me nipo ba ed in guidence and counseling ,ww je ? ma2c hayaruhusiwi...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Jamani wadau kwa anayejua hiki chuo wanafungua lini? Na join instruction zao zimetoka?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wana jf, labda nitoe tu historia kwa ufupi... mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu mwaka juzi (2011),na kada niliyoisomea ni ya ualimu. ( kwa sasa ni mwalimu), mnamo mwaka 2008...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nawapongeza NACTE kwa kutoa seletions, Lakini baadhi ya waliochaguliwa majina yao hayajapelekwa vyuo husika. kuna walioangalia profile zao na kukuta wamechaguliwa kwenda IRINGA UNIVERSITY na RUCO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukipenda paitee uclas...! Chuo kinafunguliwa tar 7/oct/2013 for first year orientation na tar 14/oct..! Kwa continous! yoyote anajua tarehe nyinine tofauti na hizo hapo juu
0 Reactions
26 Replies
5K Views
jamani tuliochaguwa st.john ya dodoma tupeane taarifa hapa maana wengine hatujui ata reporting date na admission letter (joining) tutapata vipi kwakuwa kwenye web ya chuo hakuna taarifa hizi...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Natanguliza heshima mbele JF! Kero yangu leo Board ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB). Ukisoma Mission na Vision zake zimelenga kuwasaidia wananafunzi wa kitanzania wenye uhitaji...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tembalea website yao
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU! Hii inakuaje Wana Jf?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale tunaotegemea boom nimepostiwa jana na kachala mmoja wa mjengoni kwamba wengi wa wanaoendelea na masomo vyuoni watakosa mkopo kutokana na kutofautiana kwa maelezo yao ya awali na ya sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom