Wadau naomba anayejua lolote kuhusu selection za tcu third round, nataka kujua kama wametoa majina ya waliochaguliwa
Au anayeweza naomba aniangalizie, namba yangu ni s1529 /0037/2010
Habari zenu wakuu,
Nilidakwa katika masomo kadhaa sasa nimeshafanua supp nasubiri matokeo, lakini naona mara hii hawa jamaa wameganda sana kutoa matokeo, mpaka ivi sasa sijaona ya kwangu na...
Habari zenu.
Nachukua fursa hii kuwaomba hawa matajiri wawili Tanzania na wengine,wawekeze kwenye elimu hasa kuwakopesha wanafunzi wasiojiweza ili nao waweze kusoma,Ni matumaini yangu wanaweza.
Hello Sir/Madam,
You have been identified as a key person to be a participant in my master's degree research survey process.
This survey is intended to gather data for the research titled "...
Habari zenu wanaJF
Ningependa kufahamu au kupata taarifa kwa yule anayefahamu,.!!
Maombi yanayotumwa kupitia wizara ya afya kwa ajili ya kozi za afya na kuchaguliwa chini ya wizara ya afya...
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa...
Chuo cha Muhimbili ndicho kimekua cha mwisho kutoa selection ,wametoa ijumaa iliyopita,tar20/9/13, wanasema reporting tarehe 07/10/2013, barua za admission hazijatoka, hivi wanafikiri watu wote...
Excellence Management International Co. Ltd, informs all college and university students that there will be training program known as Practical and Simplified Research Report writing which cover...
Je kwa sisi amabao hatukua na mkopo last year lakini tukajikongoja kwenda chuo wenyewe, na mwaka huu tukaomba mkopo ,
majina au matokeo yetu yako wapi coz kila alieomba hajapata matokeo yake...
habari hapa nilipo nipo na zaidi ya wanafunzi 40 ambao wanazitambua haki zao za msingi na madai maana tumechoshwa na majibu ya kijinga na ya kiupuuzi kutoka kwa bi.dada anayejiita eti meneja wa...