Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
IFRS & IAS presentation prepared by Delloite in a very presentable manner Humo utakutana na mifano, Coaching, references.. maswali mengi ya kujifunza na kukusaidia kuijua kila standard kwa kina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
heshima kwenu wanandugu... Nayapenda sana maisha yangu na ninapenda sana nifanikiwe maishani hivyo sina budi kufanya hivi ili kusonga mbele. mimi ni mwanachuo katika chuo mojawapo hapa tz na...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Wadau mbalimbali wa elimu wamefananisha alama na viwango vipya vya madaraja kwa shule za sekondari na tangazo la Airtel Money 'Hakatwi mtu hapa' kwa kusema alama hizi ni sawa na serikali kuwaambia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ikiwa wanafunzi 1,121 waliofanya marekebisho mbalimbali wakisubiri kwa hamu kujua nini kitajili ila kutoka jikoni ni kuwa watatoa baada ya siku 3 (tatu) kikubwa ni kuomba sana Mungu ili...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wale wa udsm ambao walirekebisha form zao zenye makosa, majina yametoka..unatkiwa kwnda kwa loan officer kusain hela yako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dah leo nikiwa napanga panga vitabu vyangu nikakutana na riwaya za Musiba na nikaamua kusoma moja ya Riwaya za zaman za A.E. Musiba na mpelelezi mashuhuri Willy Gamba. Kweli Nyakati zimebadilika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndg zangu ni aibu sana kwa UDOM kutota2a matatizo ya wanafunzi wake,2nahtaji kupata wataalamu wenye vigezo na uzalendo waku2mikia Tanzania.Kwa hli la BED PPM mwaka wa pili na watatu kutopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kufahamu mahal yalipo majina ya reserve in certifcate in laboratory, msaada jaman, pia unaweza nitazamia Benezeth James Onyango.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nachelea kusema kuwa heslb wangexema kabisa idadi ya watu watakaopewa mkopo kwa wale wanao-appeal pia criteria za kupata mkopo sio tena kutumia mda mwingi na 5,000 alaf inakuwa matatizo hivi ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salam wakuu, Nakumbuka back in days shuleni, kulikua na formula zilizotengenezwa kama nyimbo hivi ili kufanya wepesi kwa wanafunzi kukariri. Kwa mfano, kwenye periodic table kulikua na: Halo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
A brief history on the invention of the telephone... here is the link: HOW THE TELEPHONE WAS INVENTED - HOW SCIENCE
0 Reactions
0 Replies
840 Views
hello wana jf ...msaada kwa ndugu dada yetu ana dvn 4 ya point 29 swal ni kwamba anaweza akapata chuo cha ualim ???? na if yes naomba mntajie vyuo ambavyo vtampokea., shukurani...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Wana JF, nataka niwe mbunifu wa mavazi, kazi yangu ya kwanza nataka nibuni suruali ya kiume, iwe imetuna hapa mbele, mwanaume akiivaa anakuwa kama ana busha. Wajuzi wa mambo ya masoko saidieni...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Taarifa niliyoipata toka kwenye chanzo cha kuaminika katika chuo cha MUCCoBS ni kwamba wanafunzi wote waliobadili programme/course ,walizopangiwa na TCU wote watakosa mkopo ! mfano kama...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakuu? Leo nimemaliza kufanya mitihani ya CPA. Lakini wakuu napenda kuongelea suala la mitihani ya NBAA. Hivi hawa jamaa wakoje? Maana mitihani yao hasa somo la Management Accounting jamani...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari zenu wadau.Wadau kila mwaka vyuo vinachukua wahandisi wangapi? inamaana wahandisi wao mkopo ni given? idadi ya wahandisi waliokosa mkopo naona ni ndogo sana, vyuo vingi wanatoa wahandisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja ya mapungufu makubwa wanayoyafanya wasomi na wanasiasa wengi wanaotokea maeneo ya usukumani ni kwa kutotoa elimu stahiki kwa jamii zetu zilizo na utajiri wa kutisha kuthamini elimu.Hii ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa wale ambao form zao zilikuwa na dosari wamepewa mikopo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu namsaidia kufanya appeal ya bodi ya mikopo lakini kila tuki log in inaleta personal information only zile sehemu za kujaza info nyingine haziji ko anayefahamu jinsi ya kusolve...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…