Watendaji wizara ya Elimu wanaugomvi gani na walimu/wakufunzi waliopo chini ya katibu mkuu?
Mkufunzi anakaa miaka 6 hajapandishwa cheo/daraja na hapewi sababu yoyote zaidi ya kuwa...
Nilikua stationery hapa chuo kikuu fulani,alikuja Mwl wa kike alivyokua amevaa ile suruali ya kulalia nilihisi kuuomba upofu,hivi wanafunzi watakusikiliza kweli na wafaulu,inasikitisha sana kwa...
Habari ndugu,
Naomba msaada kwa wale waliosoma nje ya bongo hasa kwa level ya digrii na kuendelea pia hata wale waliosomea hapa nchini.
Serikali na baadhi ya organisations zimekuwa zikitoa...
samahani wakuu mwenyekujua kinachoendelea anijuze au ndiyo Big result now ,shule ndiyo hizo zinfunguliwa matokeo ya kidato cha pili hayajatoka ,mtihani ulifanyika mwezi tisa mwaka jana ,hii ni...
HABARI WANAJF
MM NIKIJANA AMBAYE NIMEHITIMU B.A IN HISTORY UDSM MWAKA JANA .SASA NILICHELEWA KUBADILI KOZI ILI NISOMEE UALIMU.SASA NIMEPELEKA BARUA YA MAOMBI WIZARA YA ELIMU WANIPE POST MWAKA HUU...
Hakika ninayoyaeleza hapa yananitoka moyoni tena ndani ya moyo unaoumia namadudu yanayoendelea kutokea katika wizara nyet/mama ya elimu,
Katika taifa lolote ambalo linahitaji maendeleo yakweli...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia katika vyombo vya habari kuwa watu wamepigwa na radi wakiwa shambani au wako baharini wakivua, sijawahi kusikia radi imepiga mjini, Kuna sababu yoyote inayofanya...
Habari zenu wana JF
Nina mdogo wangu amemaliza la saba mwaka jana.. Tunamshukuru Mungu amefaulu vizuri sana na amebahatika kuchaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza..
Utata unakuja baada ya...
Nataka kusoma postgraduate diploma of education ya open university je ajira zake ziko open km za degree yani moja kwa moja. Je out wako vizuri katika utoaji wa elimu na ni muda gani inachukua. Na...
Msaada wana JF tuwapeleke wapi wanetu waliomaliza form four 2013!! Maana ramani yao itasomeka baada ya matokeo ( sijui lin) na watasubiri hadi wapangiwe high schools au vyuo( mwezi gani sijui)...
Msaada jamen kwa aliyesoma hiyo coz ya MA KISWAHILI ada yake ni sh ngap ?Naomben ada ya vyuo mbalimbali,pia hv desertation yake inaandikwa kwa kiswahili au kiingereza,mwenye kufaham anifahamishe...
wadau naomba kuuliza kuna mdogo wangu kamaliza darasa la saba alipata wasitani wa alama D lakini hakuchaguliwa kujiunga na kidato kwanza wakati nafasi zipo za kutosha? au kuna second selection
sawa umeme ni tatizo sana na linakera sana haswa kipindi hiki cha mitihani..lakini kitendo mlicho kifanya jana sio cha busara..yana kupiga kelele kwenye mablock wakati wenzenu wanasoma..mnaleta...
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo.1.University of...
mtu amesoma degree ya IT,then akafanikiwa kusoma na post graduate diploma ya business administration PGDBA,sasa anataka kusoma masters lakini kwenye field ya education,lengo lake ni kuja kuwa...