oldd vampire
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 253
- 52
sawa umeme ni tatizo sana na linakera sana haswa kipindi hiki cha mitihani..lakini kitendo mlicho kifanya jana sio cha busara..yana kupiga kelele kwenye mablock wakati wenzenu wanasoma..mnaleta vurugu zisizo na msingi wowote.hapo hapo mwajiita intellectuals.hivi ni uintellectual gan huo?eti kugomea umeme inamana chuo hapa dar ni udsm peke ake?pia kama kugomea umeme kama mwataka nenden tanesco lakni sio kupga kelele..katika mablock ya wenzenu....ushauri tuu nunueni mishumaa au muda wa mchana someni...hakuna asie kereka na umeme llakini kupiga kwa kupiga kelele au kupiga vimbweta ndo solution?yani we are fighting with a wrong enemy.....sory kama ntakua nimewaboa ila jirekebisheni