Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

AJIRA MPYA ZA WALIMU. "Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA??? Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa. Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini. NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Wadau naombeni msaada wa kujua faida na hasara za mfumo wa CAMBRIDGE kwa mwanafunzi anayesomea Tanzania. Nahitaji kufahamu kwani nina mdogo wangu yupo shule moja, walimu wameshinikiza asome mfumo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
hakuna cha shule ya wenye vipaji maalumu,sipo tayari kuangamiza ubongo wa watoto kisa shule uchwara za serikali,nataka watoto wangu wapate ufahamu sahihi hata kama wana div3
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Wadau naombeni msaada wa ufafanuzi kwa anayeelewa vizuri mfumo wa Elimu wa Cambridge unaotolewa hapa Tanzania. Mimi nina mdogo wangu tulimpeleka kwenye shule moja (private) kwa ajili ya masomo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2013 yanaoshesha kuwa, masomo yaliyo kwenye mpango wa Big Result Now(BRN) Yaani: kiswahili, english, biology na mathematics yameongoza kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Madaraja "a, b+, b, c, d & e" yameleta faida gani kwa o-level?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujua ada ya Chuo kikuu huria kwa degree ya kwanza na foundation course. OFC
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UONGOZI WA VYUO VIKUU NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA, VIKISHILIKIANA NA WAHITIMU WOTE WA NGAZI YA CHETI, STASHAHADA, NA SHAHADA PAMOJA NA WAZIRI KIVULI WA ELIMU: Wanatangaza maandamano makubwa nchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jaman naomben kujuzwa ukipata ngapi unachukuliwa kwenda kidato cha tano(shule za serikari) na vyuo vya ualimu?
0 Reactions
57 Replies
28K Views
habariu wadau.naombeni msaada hivi masters ya med.apps ya open ni iko poa,iko marketable
0 Reactions
1 Replies
922 Views
mwenye kujua shule zenye kufundisha vizuri katika jiji la Mwanza kwa O level na A level sababu mi si mwenyeji wa mwanza so anayejua naomba aniambie kwa kunitajia shule izo za secondary.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.
1 Reactions
45 Replies
301K Views
Habari zenu wenzangu; na kuwashirikisha watanzania wenzangu, wanaoujua kiingereza cha kuandika, na wanajua kutumia Computer,Tablet au hata smart phone,na wana access ya internet, ikiwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi aliepata div III mwaka 2010 na kushuka anaweza kuwa na akili sawa na aliepata div III mwaka 2011-2013???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mtu anefahamu, vyuo vilivyopo Arusha mjini vyenye hostel,vinavyotoa course ya early childhood care au nursery teaching,, please anisaidie,,
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Nauliza Kwa Kuwa Mh Shule Zenyewe Hazina Walimu Wa Kutosha, Madawati Hayatoshi, Hakuna Maabara Wala Maktaba, Walimu Wanalipwa Ujira Mdogo Na Hakuna Nyumba Za Walimu. Mi Kwanza Nafikiri Mafisadi Wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipeni ushauri ndugu zangu nimechanganyikiwa jamani
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Njoooni huku tuzungumze ya kwetu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…