Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

nauliza how to calculate GPA ,je hiyo iko costant kwa vyuo vyote bongo au duniani,naomba kujuzwa
0 Reactions
20 Replies
31K Views
Wadau ebu tujadili zile shule zetu za vipaji maalum,mzumbe,kibaha, iliboru, kilakala, nini kimewasibu hadi top ten?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi(AFISA KILIMO) Kutoka mkoa wa MOROGORO, DAR, TANGA NA PWANI. Aje Mkoa wa MBEYA Halmashauri ya MBEYA. Mawasiliano no. 0657949631, email...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba tulinganishe madaraja yaliyokuwa yakitumiwa na Necta kabla ya madaraja mapya. alama zilizokuwa zikitumiwa awali na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) katika kupanga matokeo hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namaliza mwaka mzima mitaa sasa bila ajira kutoka..cjui kama nakumbuka tena kufundisha...hii Ndo Tanzania yetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mmetangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mtihani uliofanyika mwaka 2013, hata kama ni BRN ni sawa, lkn mmeacha maswali mengi yasiyo na majibu, mfano: 1. Hakuna ufafanuzi credit ni ipi kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa na wadogo, siku ya trh 22,2 ilikuwa ni siku ya furaha kwangu baada ya kupata matokeo yangu ya kidato cha nne na kufaulu vizuri. Nilipowajulisha walezi wangu kuhusu hayo matokeo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Amemaliza form 4 mwaka 2010 na form 6 mwaka 2013 tokeo la form 4 alipata div3- 25 la form 6 div 4-19 ya S-2 Chem/Bios
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amemaliza form 4 mwaka 2010 na form 6 mwaka 2013 tokeo la form 4 alipata div3- 25 la form 6 div 4-19 ya S-2 Chem/Bios
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Sifuri zatawala kidato cha nne Share bookmark Print Email Rating “Hawa wa mwaka juzi (2012) D ilikuwa ni kuanzia alama 35...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kumbe kitendo cha kugomea divistion V ndio imeletwa katika sura tofauti. Hivi tunaipelekawapi elimu yetu jamani? Ukifuatilia mgawanyo wa Grades utagundua hii ni janja janja na ufaulu...
2 Reactions
146 Replies
41K Views
  • Closed
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya)...
0 Reactions
209 Replies
25K Views
Samahanii jamni kutokana na mfumo mpya sijajua kama hapa combination yenye history yakubalika! Nimepata History E. Geography C. Civics D. English C. Math F. Literature E. Kiswahili B. Biology D...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa habari zaidi ebu chek hapa........"feza girls" aaibisha kwa kuibuka na division iv pekee huku wengine waking'ara vema........ http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heko kwako mdau, nilikua naomba kwa anayejua proses nzima kwa liyefaulu kuendelea na kidato cha tano ni hatua zipi zinafanyika jee kuna barua yeyote labda mhusika huletewa ili kujulishwa shule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Wanajamvi naomba anaye fahamu grade za haya matokeo ani fahamishe. Yaani mipaka ya A+, A, B+, B, C, D, E na F. Nawasilisha
1 Reactions
32 Replies
14K Views
Wale alioapply kwenye chuo hichi vipi kuna jipya au wameshaanza kuita watu kwenye usaili au? Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Private school owners express doubts Second selection now set for March 1 Prof Eustella Bhalalusesa, Ministry of Education and Vocational Training Commissioner of Education Pupils not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…