Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

anaye fahama chuo kinachotoa kozi/mafunzo ya bodyguard afrika mashariki
0 Reactions
0 Replies
2K Views
anaye fahamu ni chuo gani kitoa kozi/mafunzo ya bodyguard kwa afrika mashariki naombeni msaada kwa ilo kama unajua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina apply kwenda form v July hii. Moja ya nyaraka inayohitajika na shule niliyoapply ni results slip. Sina mawasiliano ya haraka na shule niliyosoma o level ili kujua kama results slip zimewasili...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
NDUGU ZANGU NAPENDA KUSHARE NANYI LINK AMBAYOINA FULSA YA KUPATA SCHOLARSHIP AU KUSOMA FREE ONLINE LINK HYO NI HAPA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
samahani kuna mdogo angu anataka kusoma HIV counseling and guidance kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu soko lake la ajira na mengineyo tafadhali msaada.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nisieleweke vibaya na wala sibezi watu waliochukua masomo ya arts ila inapaswa kutoa msukumo mkubwa kwa masomo ya sayansi kama tunataka kuendelea kwenye fani ya sayansi. MWISHO WA HOJA YANGU...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
UDSM hadi sasa kwenye akaunti zetu hatujawekewa hela za kujikimu , japo tayari wengine tulishasaini toka tarehe 5 March, 2014; na Ratiba ya Masomo kwa muhula wa pili imeanza tarehe 8 March...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpaka jana jioni,hakukua na muafaka kati ya uongozi wa chuo na wawakilish wa DARUSO kuhusu suala la kusign mkopo... Uongozi umeendelea kusisitiza kwamba,lazima kila mtu awe na valid ID na wakati...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu idara ya msingi nipo halmashauri ya sengerema mwanza kwa anayetaka kuja mi niende mbulu tuwasiliane kwa phone 0684 223372 Au 0765 200735 nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa wadau wa JF. Nina mdogo wangu wa kike anafanya kazi Dar (Nurse) serikalini na mme wake anafanya kazi Morogoro. Ana mpango wa kuhamia kwa Morogoro ili aweze...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SUA tutaendelea kupeta kama real madrid ndani ya santiaGo bernabeu........ tumekamilikA kilA idaRaaa hasaHasaaa in term of excellence........... u canT compare suA with Udzm or any other vyuo vya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau naombeni anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo ya ufamasia au course za uuzaji wa maduka ya dawa kwa dar au arusha anijulishe. asanteni sana
0 Reactions
1 Replies
3K Views
.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa anaejua naomba kusaidiwa halafu kwa matokeo haya naweza kwenda goverment A level History C Geograp C Kiswahil C English C Civics B biology D math E jaman naon HKL. HGK na HGL...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii elimu ya kitanzania mbona hivi. Si universities, collages, primary wala secondary, mambo hayaeleweki, yan vurugu tupu.
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Habari za asubuhi wadau. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne 2013, matokeo yake amepata div IV ya 33, ana C ya Biology, D ya Physcics na E ya Chemistry na D ya Maths. Sasa naomba msaada kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Top Universities in Tanzania 2013 List of top universities in Tanzania, United Republic of: 1.University of Dar Es Salaam - It is the oldest and biggest public university in Tanzania. - It is...
3 Reactions
97 Replies
17K Views
Binti yangu amehitimu kidato cha nne 2013 na amepata daraja 1 points 15. Yeye anapenda kusoma Civil Engineering, anataka kuanza na chuo kwa hatua za mwanzo ,halafu ndio aende elimu ya juu kupata...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…