Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi mwalimu wa sekondari. Nimeajiriwa mwaka huu wilayani TARIME. Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye ili nihamie wilayani BUNDA. Naombeni msaada jamani...!
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Matokeo ya wanafunzi waliofanya mitihani ya bodi ya ugavi stage iv (PSPTB) mwaka jana mwezi wa 11 yapo mtandaoni! Cha kushangaza ni kwamba kwa mara nyingine wanafunzi waliohitimu kutoka chuo kikuu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nahitaji msaada wenu jamani hivi nikisoma EGM,Labda naweza kufanya nini hapo baadae?hususani kama nikifaulu mtihani wa kidato cha sita
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mi naomba mnisaidie,hivi nikisoma egm nakua niko science au art?
1 Reactions
19 Replies
7K Views
habari wana jf?? naomba msaada kwa yeyote anayefahamu deadline ya postgraduate applications za UDOM kwa mwaka wa 2014/2015 anifahamishe please.
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Wanajamii forum naomba msaada. me nimemaliza kidato cha mwaka jana na nipata division three ya point 25 je naweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tana? Madaraja niliyo yapata ni kama ifuatavyo...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
wakuu naomba mnijuze eti vyuo binafsi vya afya nako kuna ushindani wa kupata nafasi maana kuna mtu ana bios c chem c na phy d math f english d masomo mengine yote d anataka asome diploma ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ni website gani naweza ku-download bure kitabu cha ''field virology, 6th edition'' PLS MSAADA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa katika tangazo lao wamesema waweza apply on line pia na wakasema form ziko katka website za wizara na nacte bt nimejarb kuangalia czion ni mimi tu au wote?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu amepata dvsion four ya 32 ana biology~c,english~B, mesomo mengine yote D je anaweza kwenda kidato cha tano au aaply chuo??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unapo fanya application za vyuo TCU nivyeti gani vya muhimu vya kuambatanisha. Naombeni tusaidiane wadau.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale wapenzi wa kipindi cha Skonga cha channel 5 huyu jamaa anaejiita raisi wa wanafunzi amepata shavu Kenya. Bado sijajua n channel gani.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau naombeni kujua uhalisia wa hicho chuo, kinatambulika hapa kwetu tanzania ?? vp shule yake ni ya ukweli ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kawaida ya binadamu kuogopa wanyama hatari kama vile Simba, Nyoka, Chui n:k. Lakini hili limenishangaza zaidi na zaidi kuwa ukikutana na CHATU hutakiwi kumpiga. Na endapo utampiga na kumuua...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Naomba mnisaidie wadau wote wa elimu, hivi kuna tofauti gani kati ya lugha kienzo ya kamusi na lugha chasili ya kamusi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau wa masuala ya taaluma ya elimu ya juu, ninawaomba mnichagulie ni fani ipi ninaweza kusoma na nisijutie nikiwa mtaani baada ya kuhitimu.Fani zenyewe ni Electrical Engineering, Mechanical...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada. Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English & Kiswahili, Biol D, Geog D, Civ D, Hist D na Math's F. na Hakusoma Sayansi. Msaada, Kozi gani itamfaa?.....
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ktk kuisaka shahada nimekuwa nikichanganywa na malecturer kutokana utofauti wao wa yale wanayoyafundisha vyuoni! Hapa nitaweka mifano miwili: Katika Adminstative law, tulifundishwa 'Alter...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau. Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo? Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au?? Msaada jamani...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…