Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

which is better in terms of everything
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Jamani ndungu, jamaa na marafiki kwanza natanguliza shukrani na kuwataka mchango wa mawazo. Hivi ukiwa admitted for surgery na upo katikati ya semester ni vyema kuendelea na masomo kama utakuwa...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Imekuwa kasumba na utamaduni unaozidi kuchipuka sasa kukuta maprofesa/walimu wa vyuo vikuu vingi hapa TZ (UDSM, SUA, SAUT, Makumira,TEKU, Muhimbili, ARU etc.) kutumia lugha ya Kiswahili...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
MWANAFUNZI ASHINDWA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE BAADA YA TUMBO LAKE KUVIMBA.......INASIKITISHA SANA..!! MATESO kila kukicha. Kijana Shaggy Sadick mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mimi mwalimu ambaye nipo manispaa ya bukoba natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kwenda mwanza mjini...tuwasiliane kwa 0789152076
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi ni mwalimu idara ya sekondari nipo halmashauri ya tarime kwa yeyote anayetaka kuja tarime mi niende magu mkoa wa mwanza tuwasiliane kwa 0767045100 au 0789045100 Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman wahanga wenzangu polen xana nimeambiwa kesho -15/5 majina yanatoka mana nmeambiwa na naibu wazr leo dom kulpot 1/7
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Wajaluo [Jo-Luo] hapa Tanzania ni zao la watu 40 tu waliopiga makasia kutoka Nyanza Kenya mpaka Musoma.Historia inasema kwamba wajaluo wametokea ASIA MINOR,Abraham alioa mke mwingine baada ya kifo...
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Wakuu natafuta mwalimu wa kubadilishana nae idara sec. mimi nko wilaya ya Nyasa iko jiran na Mbinga nataka kwenda Njombe, Mfindi au Iringa phone no 0753925510 thx.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Mimi nimemaliza chuo kwa ngazi ya cheti (certificate in general agriculture). Nataka kujiunga na chuo kwa ajili ya diploma mwaka huu 2014/15, ila sijui vyuo vinavyotoa hiyo elimu. Naombeni...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha thread!! Nina mtu wangu wa karibu anatafuta chuo kwa ajiri ya diploma kuanzia september mwaka huu! Nimeleta kwenu ili niweze kumuepusha na vyuo vinachipuka kila siku...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
kama tayari, naomba utaratibu maana ninawadogo zangu wahitimu wa FORM 6 mwaka huu na Simu yangu imeshindwa kufungua OLAS. Aksante!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wana jf kuna degree course ya education in economics na geography na vyuo vip?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wakuu Tafadhali naomba kujuzwa muda(mwezi) ambao MUST huanza kutoa bridging course kwa Form VI Leavers ambao hawakukidhi vigezo vya kujiunga na course za Engineering , na taratibu za...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wadau Nina mdogo wangu alikua anaapply mkopo Online (OLAS), alifanikiwa kuweka password kama inavyotakiwa. Sasa kila akitaka kulog in system inamgomea na kuleta ujumbe kwamba details...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa...
1 Reactions
15 Replies
23K Views
ni vipi swala la kuapdeit mkopo limekaaje? site na kila kitu kinachohitajika?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
My computer writes Ctrl+Alt+Del Help me to make it oky
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale waliokuwa wamepangwa Kambi la RUVU soma kupata marekebisho (.VIJANA 1200 WAMEONDOLEWA KUTOKA KIKOSI CHA RUVU NA KUPELEKWA VIKOSI VYA MAKUTUPORA, MAFINGA NA WACHACHE VIKOSI VINGINE.) Pata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi nimepata 4.32 mwaka 2013 naomba msaada wa kujulishwa kuhusu kusoma PUBLIC ADMINISTRATION je chuo cha kozi hii kipo wapi? Ada, na kuhusu ajira zao kwa ngazi ya cheti.Ni hayo tu ndugu zangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…