Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wakuu... Mwenye Notes za Microsoft publisher au anaejua mahala ninapoweza kuzipata msaada please
3 Reactions
11 Replies
928 Views
Waziri wa Elimu na Mbunge wa Rombo kwa mwenendo huu anaenda kuua zaidi Elimu yetu. Ukiangalia katika uwekezaji wa Elimu yetu ,Waziri Mkenda amehamishia nguvu kubwa katika uwekezaji katika programs...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu naona ajira portal wametoa tangazo la udhamini wa masomo Egypt kwa kozi ya Udaktari (MD) ambapo mwisho wa maombi ni tarehe 5 August. wenye Uzoefu naomba experience ya jinsi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba ufafanuzi wa institutional admissions entry ya vyuo?
3 Reactions
5 Replies
469 Views
Habari, Naomba msaada wakuu mwenye recently soft copy za vitabu hivyo tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Naomba msaada wenu wana JF..nimekwama hii sehemu jinsi ya kujaza apo chini kwenye picha. Naomba mnisaidie.
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Nina dogo hapa anataka kusoma kozi zinazohusiana na Biashara, kwahivyo ninahitaji ushauri kwa mawili! 1. Nataka mumshauri dogo kozi nzuri ya biashara ya kusomea! 2. Chuo Kizuri kwa...
3 Reactions
4 Replies
607 Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujaza hiyo sehemu kwenye ku request control number ili niweze kupata equivalence. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
14 Replies
917 Views
Msaada wa shule ya private kwa kidato cha tano kwa michepuo ya sayansi PCM na PCB. Shule iwe ya bweni maeneo ya kibaha mlandizi au chalinze. Ada iwe kati ya milioni moja mpaka milioni mbili na nusu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wanajamii, Nakaribisha wote mlioko tayari kujifunza na kupata ujuzi kuhusu PMP® (Project Management Professional) kupitia PMP® Prep Master Class. PMP® ni nini? PMP® ni cheti cha kitaalamu...
3 Reactions
1 Replies
451 Views
Wanaotoka diploma kwenda degree muhas wengi form 4 hawakupata matokeo mazuri mathe ,na physic Leo niliamua kupitia waliokuwa selected muhas pale 2022/2023 nimekuta wengi waliotoka diploma kwenda...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu leo katika utulivu wangu nimefikilia kwamba bandari ni ni moja ya sehemu ambayo kwa kijana wa sasa anaweza kunufaika na ajira ya mapema kama akisomea kwa wakati huu ambapo Nchi yetu...
0 Reactions
4 Replies
617 Views
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo tajwa abakwa adi kufariki dunia na habari kutoka kwa wanafunzi hapo wadai watu takribani 30 wamekamatwa. NOTE: Picha zinazoonesha Mwili wa Marehemu...
5 Reactions
495 Replies
118K Views
Bodi ya mikopo imefungua rasmi dirisha la maombi. Kazi kwenu.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi hasa darasa la kwanza mpaka la 7 Wale wanajua Siri zetu tangu tunajikojolea Darasani Alafu kuna yule rafiki yako ambae ilikuwa kila Siku...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k. Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Je, ukisoma CBG, A level unaweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor of Science in Nurse Anasthesia.(BSc Nurse Anasthesia)?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…