Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Nina vijana wangu sita wanaosoma katika Chuo cha Mwalimu Nyerere pale Kigamboni wameathirika baada ya kufutiwa matokeo yao na kuambiwa kuwa walighushi matokeo. Kwa maelezo tuliyoyapata, si watoto...
1 Reactions
8 Replies
149 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayojitokeza katika Hospitali ya Rufaa ya St. Francis, Ifakara-Morogoro (St. Francis Referral Hospital), ambayo pia hutumika kama hospitali ya mafunzo (teaching...
5 Reactions
25 Replies
631 Views
Anonymous
Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi...
2 Reactions
10 Replies
407 Views
Anonymous
Kuna tabia ya VETA kipindi cha kutunga na kusahisha mitihani, wanawatumia wastaafu na watumishi wasiokuwa wa VETA. Mfano: mtihani wa mwezi wa sita wa Level III uliofanyika 2026: kuna kituo x...
0 Reactions
5 Replies
120 Views
Anonymous
Ndugu wanajamii, Naomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu uliowekwa na chuo chetu wa kutoza penalty ya shilingi 50,000 kwa kila awamu ya ada inayochelewa kulipwa. Ada ya chuo ni...
1 Reactions
4 Replies
160 Views
VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Anonymous
Hello Nina mwanangu ambae Siku zote alikua na ndoto za kusomea Diploma ya uuguzi. Lakini kutokana na kukosa vigezo Ikabidi ahangaike kutafuta D za masomo ya Sayansi kwa Miaka miwili mpaka...
2 Reactions
13 Replies
452 Views
Anonymous
Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti tunapata changamoto kwenye upande WA disability form ukiwa unaomba wanahitaji reference number wakati hizo hatuna tunatumia form kutoka kwa DMO au RMO...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Anonymous
WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika...
2 Reactions
1 Replies
219 Views
Back
Top Bottom