Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Juzi kwa mara ya pili nimepigiwa simu na mtu anaejidai kuwa ni mhudumu wa tigo pesa toka makao makuu, akidai kuwa anataka kunisaidia kuongeza kamisheni yangu. Ambayo anasema ilikatwa kimakosa...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wakuu. Natafuta mdau tushirikiane kazi ya usambazaji wa software kwa wateja wangu. Sifa 1.Awe amemaliza kuanzia kidato cha nne 2.Awe mchapa kazi 3.Elimu ya book keeping ni sifa ya ziada...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima Wakuu, Naomba ushauri wenu nataka kuanzisha NGO. 1. Christian NGO 2. Itakuwa Mtwara 3. Itakuwa kwa ajili ya kuwasaidia watu kielimu (education center, Church, Chrisitian fm Radio)...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafikiria kuanzisha clinic au hospitali. Ila sina pesa , nafikiria kuanzisha vijicenters vidogo vya kupika na kuuza mihogo hii ya kukaanga na chachandu ili kuongeza kipato cha kila siku baadae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamii forum, Kwa mda mrefu nimekua nikitafakari juu ya fursa ambazo zinapatikana. Binafsi nimeiona fursa ya kuanzisha Mashine ya kukoboa na kusaga mahindi ni fursa kwangu maana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina shilingi laki moja na nusu nataka kuifanyia biashara, ushauri nifanye biashara ipi?
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Ndugu watanzania, najisifia uwezo wangu uliomkubwa ktk utunzi wa vitabu.Janga ninalokutananalo ni kuishi Tanzania. Wabongo wenzangu hamko vizuri ktk kuwekeza ktk vipaji.Kwa sasa namtafuta kwa udi...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Nimejichanga huku na kule nimepata millioni moja mkononi, plan yang ni kufanya biashara ila sijajua biashara gani itanilipa vizuri. Napatikana Kibaha Mjini, nakaribisha maoni na ushauri pia juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wapendwa. Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu tukufu la Tanzania. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mada tajwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau Nina mtaji wangu hapa wa shilingi million mbili nataka nianze biashara ya dagaa ya jumla wa ziwa Victoria. Dagaa wa kukaanga, waliokauka kwa jua na pia dagaa kwa ajili ya kutengenezea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mwalimu anahitaji mkopo wa kama Million 5, benki amepewa riba kubwa saaana, anataka kujua wapi atapata mkopo kwa riba nafuu na pia ajue utaratibu wa kurudisha kila mwezi.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Waungwana hamjambo! Nane nane mwaka huu ilikuwa na mambo mengi ya kujifunza. Mimi niko pande za Mwanza hivyo nilihudhuria kwa siku tatu tofauti tofauti. Siku ya kwanza nilijifunza kilimo cha...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Habari za muda huu wakuu, kwa yeyote mwenye taarifa ama anaejua soko la hii bidhaa hapa Dar es Salaam, msaada tafadhali.
0 Reactions
16 Replies
7K Views
wiki iliyopita wamefanya mzinga wa party pale mlimani kusherekea makampuni 100 muhimu zaidi Tanzania mbona list wanaifanya siri? Kulikoni KPMG au ndio mambo ya akina Arthuranderson?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakati The Boss akiendelea na mjadala wake wa nini kifanyike ili kuondokana na tatizo na msongamano wa magari na watu jijini Dar Es Salaam, nimeona kwa sisi ambao tulizaliwa na kukuzwa vijijini...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Following approval of the largest 53tr/- Mwambani Economic Corridor Project in Tanga Region by the East African Community (EAC) Secretariat, several international companies have now expressed...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hebu naomba kuuliza kwa wale walio jikoni kama wamo humu JF, hivi kweli hili suala la Wachina kujenga bandari kubwa bagamoyo, ni kitu cha kweli au ni ahadi za hewani tu? Nimeuliza hivi kwasababu...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wadau.Ninaomba ushauri kuhusu biashara ya kutengeneza kokoto,jee ni Mikoa gani ambayo ninaweza kuwekeza na kunilipa? Natanguliza shukurani.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
FURSA YA KUONGEZA KIPATO HELPING HANDS INTERNATIONAL-Tanzania Helping Hands International (h2i) ni utaratIbu unaoshughulika na kuwawezesha washiriki nafasi ya kimataifa iliyoanzishwa kwa shauku...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
If you want to see a change in your life then you must be that change. Now everything depends on you and your actions only. If your in Tanzania and you want success in your life join...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom