Nina genge na kaduka kadogo nyuma yake.Tatizo wenye maduka makubwa wanaonizunguka wamekuwa na kawaida ya kuja kuangalia vitu ninavyouza mpaka ninaogopa hasa ikichukuliwa ni mwezi tu nimeanza nazi...
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua...
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza...
Wadau
Tuna soko la uhakika la kahawa nje ya nchi. Muuzaji kama ana shamba mwenyewe au awe anajua kahawa yake inatoka wapi. Soko lipo la uhakika. Mwenye kutaka habri Zaidi tuwasiliana kwa pm...
Wadau naomba kujua kama endapo ntanunua bidhaa kutoka mtandaoni mfano ebay au amazon ntalipia tena gharama nyingine itakapo fika hapa nchini kwa kutumia urgent kama DHL au FEDix? Asanteni :noidea:
Wakuu,
Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia...
Wajasiriamali Wadogo
Nimekuwa ninapekuwa na kusoma hizi nyuzi humu bila kuona hata mmoja unaogusia hali ilivyo mbaya mtaani haswa kwa wafanyabiashara wadogo. Biashara nyingi zinafungwa kutokana na...
Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni...
Habarini ndugu,
Nauliza Ni king'amuzi gan kina bei rahis mm ninahela ndgo efu hamsn tu na shida yangu niwe napata taarifa ya habari basi. Nipo mwanza mwenye kujua anielekeze tafadhari. Asante
Hakuna biashara inayonishangaza kama biashara ya mabondo ya sangara, mabondo ambayo bila shaka yako kwenye orodha ya nyara za serikali lakini isiyojaliwa na serikali.
Biashara hii ambayo...
Msema kweli ni mpenzi wa mungu
Maisha ni magumu, mshahara hautoshi halafu ukitegemea mwanaume akupe hela hakupi kwanza anakudharau anakuona huna maana.
Nimefikiria kuanzisha biashara ya saluni...
Wandugu kuna kahela natarajia kukapata kiasi flani na natarajia kuchukulia dirishani (mkopo) na ili kufikia rejesho lao la mwezi inabidi nifanye biashara yenye kupata hela ya kutosha.
Wazo langu...
Salam kwenu.
Nina Ndg yangu ana mtaji wa 70m anatamani sana kupata biashara ya kuwa wakala wa bidhaa inayofanya vizuri Sokoni. Naomba msaada wa mawazo. Anaishi Dar.
Green Agriculture
Pata ujuz wa Kilimo Kwa kusoma makala mbalmbal zilizoandikwa na wataalamu wa Kilimo
*Huduma zetu*
_drip irrigation design and installation, Sprinkler irrigation and all...