Habari za majukumu wapendwa !!!
Naomba kujuzwa hatua kwa hatua namna kusajiri biashara na kupata lesseni.
Biashara yenyewe ni ya statationery and business center.
Natanguliza shukrani.
kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,mimi nina mpango wa kufungua duka la kuuza dawa za mazoezi mwishoni wa mwaka huu.Bali sina uhakika wa jinsi ya kupata kibali hicho cha kuuza dawa hizo na...
Nilikopa 15mil katika taasisi moja ya kifedha kama miaka 3 iliopita nikaomba wanikate makato makubwa ili nilipe kwa muda mfupi it was like 493000 kwa mwezi.
Sasa haya makato ni makubwa mno...
Jarida lasifu ndege mpya za Magufuli
JARIDA mashuhuri duniani la Forbes, limezitaja ndege aina ya Bombardier Dash8 Q400, ambazo tayari Tanzania imezinunua kuwa ni zenye usalama, zinazotumia...
Kumekuwa na Mjadala kuhusu ndege Mpya za ATCL! Nimeikuta hii mahali na naweka hapa wengine nao waone! Nikiwa X-staff wa iliyokuwa ATC, ninaelewa! Wakati mwingine ni vizuri kujua hadi uamuzi...
We are quite pleased to announce that Crystal Clear Software Ltd, the sole developer of number one loan software called “loan performer” has released new version.
More than 50 countries are using...
Life Advice: What can people start doing now that will help them a lot in about five years?
1. Don't have that extra slice of pizza, you've had enough to eat already - you will regret it.
2. You...
Habari wanajamvi nahitaji mkopo nikuze na nipanue wigo wa masoko wa biashara yangu ya viatu vya kimasai.
maana inafika wakati wateja wanakuwa wengi ila kutokana ninamtaji mdogo nashindwa kuwapa...
Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma...
Kwa mara kadhaa sasa nimenunua betri za Panasonic AA, zenye nembo ya TBS, lakini zimekuwa zinaacha kufanya kazi ndani ya nusu saa, zingine hata siku mbili hazifiki. Na hii ni kwa matumizi madogo...
Habari wana Jf.
Ukiwa kama mjasiriamali huru, unatakiwa kuwa huru kwa maana kuchunguza fursa popote na kuzitumia ipasavyo. Ifuatayo ni Fursa ya kupata notes bora za kutengeneza sumu za wadudu na...
Wataalamu wa masuala ya kodi na sheria hebu tujuzeni kama pesa za mshindi wa BBA season 9 Idris Sultan zinapaswa kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria zilizopo Hapa nchini. Nauliza kwa sababu nataka...