Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya...
Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)
Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k.
Nina ujuzi wa IT (Information...
Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni?
kwa nini usajili wa kampuni ni hatua muhimu kwa mfanyabiashara anayetaka kuongeza uaminifu, kupata fursa kubwa za mikataba na tenda, kuvutia...
Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika,
HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE...
Wakuu,
Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa...
Kabla Albert Einstein Hajafariki mwaka 1955 Aliwahi kusema Moja ya Maajabu Nane ya Dunia (8th Wonders Of the World) ni "Compound Interest"
Najua litakuwa SIO Neno geni kwako ila tu labda hufahamu...
Tushukuru Kwa kudra za Mwenyezi Mungu tupo salama na tunaendelea kuelimishana, kufurahishana na kujuzana mengi katika ukurasa huu wa JamiiForums.
Karibu saana, leo tutakuwa na interview kwa...
Watu wanao anza kufanya biashara kuna maneno wanakutana nayo utakuta mtu anomba ushauri vizuri ana million zake 20 mtu ana shauri tumia million 10 kumi iweke kwanza, au una million 5 utaskia...
#plotsforsale
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM
NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach)
RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO...
Habari wanajamvi!
Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
#shambalinauzwa
Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga
Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14
-Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge
-Plot size Ekari 4,670...
Habari wakuu?
Je kuna wadau wapenzi wa kahawa nzuri na fresh humu?upo tayari kulipia bei gani kwa premium fresh coffee ambayo imeroastiwa si zaidi ya 48 hours.? Tembelea website yangu kuona...
Hello, guys. Tunacho kiwanda kidogo kinachozalisha mafuta yatokanayo na mbegu za michikichi ziitwazo mbosa/mise. Katika uzalishaji huu tunapata pia mashudu. Mashudu (palm kernel cakes - PKC)...
Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu...
Aisee, leo dollar imeanguka ghafla kwa yeyote ambaye alikuwa ana trade pair yoyote yenye dollar iwe gold, au currency kama alicheza vizuri atakuwa amekula profit kinoma.
Sijui ni tarriff za bwana...
Tanzania ya Samia inazidi kupata Neema Kila siku na hivi punde ni habari za kugundulika kwa Gesi asilia eneo la Ruvu-Kibaha Mkoa wa Pwani.
Ugunduzi umefanywa na kampuni ya Wazawa ya Dodsol...