Nimefuatilia hii issue ya kuteketea kwa moto soko la Mbeya. Nimeona niwashirikishe hisia zangu. Naona kuna hujuma kwa watu wa Mbeya ( Tena za kisiasa.). Mfano kitendo cha Mkuu wa wilaya ya Mbeya...
Choices You Make Will Make You, and herebelow is how millionaires think and act. Your choice is always yours. Posted as receiced.
"A Lot of people said to me I wanna be rich. I started...
Habari zenu wanajamii forum,bila kupoteza muda nlikiwa naomba maoni na mitazamo mbalimbali juu ya biashara ya mabasi ya mikoani.ningependa kupata ujuzi namna wamiliki wa mabasi ya mikoani hufanya...
Kumekuwa na tatizo kubwa la ajira nchini tanzania lakini je? Tatizo ni mfumo wetu wa elimu au sisi vijana kukosa ubunifu na uthubutu katika kujiajiri?
Asilimia 75 ya watanzania nI vijana na...
Nitatumia mfano ili nieleweke. Serikali ni kama mfugaji, sekta binafsi (wafanyabiashara) ni kama mifugo, (mfano Ng'ombe) na fani ya ufugani iwe kama aina ya uchumi wa soko tuliochagua kuufuata...
Chura anapenda sana Maji.
Tuna penda sana kazi asikuambie mtu, tunapenda sana tuonekane tuko ofisini hata kama kazini ni kugumu namna gani potelea mbali si niko kazini?
Tunapenda sana mtaani na...
Dar es Salaam. Development of the Bagamoyo Special Economic Zone (SEZ) is progressing well, the Export Processing Zones Authority (EPZA) has said.
The director general of EPZA, Dr Adelhelm...
Habari wakuu, naomba wenye ujuzi na uelewa katika maswala ya ujenzi na gharama za ujenzi wa nyumba mnisaidie makadilio ya gharama ya kujenga nyumba hii. Thank you in Advance.
Habari za mda huu wana JF, natumai mu wazima mnaendelea kuijenga Tanzania ya viwanda.
Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi, ni biashara ambayo nina...
Habari za majukumu wakuu
Kwa mwenye ufahamu au mtaalamu wa mikopo naomba kujua Kama inawezekana kutumia kiwanja kilicho pimwa kama dhamana ya kupata mkopo Benki kwa ajili ya mradi wa kilimo...
Wakuu habari?,
Nina ndoto za kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji lakini tatizo ni mtaji.
nimeamua kuweka angalau 10,000/= kila siku kwa miezi 6 ili niwe na mtaji wa kutimiza ndoto zangu,sasa basi...
Habari yenu wana Jf. Nimechukua nafasi hii ilikuongelea mashirika ya simu kujiingiza ktk biashara za kutoa fedha na kupoke kama ma Bank na vile yanavyo haribu uchumi wa Taifa letu. Unajuwa...
Nimeshuhudia mara kadhaa wahudumu wa hizi biashara ndogondogo, ambazo hufanywa na watu wengi, hususan akina mama - hufanya makosa ya kimahesabu sana hasa kwenye kurudisha chenji!
Leo asubuhi, kwa...
Salaam wakuu!
Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni...
Wakuu,
Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).
Shukrani kwa ushirikiano katika...
habarini wandugu, nina tv yangu ya mchogo ilikuwa inaonesha rangi vizuri ila saivi inaonesha rangi ya blue iliyochanganyikana na nyeusi kiujumla inaboa kinoma noma, sasa juzi niliileta kwa fundi...
Habari zenu jamani, nilikua naomba kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kutuma mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania anipe mwongozo.Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge...