Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki. PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema...
33 Reactions
171 Replies
26K Views
Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri...
20 Reactions
190 Replies
16K Views
Offer offer offer!!!! Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu ✓ufundi bure ✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama Zetu ✓camera zetu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale. Kariakoo ndiyo moyo wa biashara...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha...
0 Reactions
0 Replies
513 Views
● Njombe ●Iringa ●Mbeya ●Katavi ● Mwanza ●Tabora ●Kigoma ●Tanga ●Ruvuma ●Morogoro hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar ☆Hii mikoa ni kawaida...
17 Reactions
118 Replies
5K Views
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025 1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024) 2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024) 3. Tunisia – TND 128,856...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
🔥🔥🔥🔥OFFER OFFER OFFER🔥🔥🔥🔥 ‎ NOKIA 105 ‎Jumla:Tsh24,000kuanzia pc3 ‎RejaReja:Tsh30,000/= ‎Fm radion wirless ‎Brand:New ‎Battery:1000mAh ‎Laini mbili ‎ ‎...
1 Reactions
0 Replies
277 Views
Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa...
4 Reactions
8 Replies
783 Views
Huenda umekuwa ukitumia usafiri wa Bajaji (pikipiki ya matairi matatu) na kudhani kuwa zote zinatumia mafuta ya petroli pekee. Hata hivyo, hali imebadilika! Sasa kuna Bajaji zinazotumia Gesi...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Siku ya kufa nyani wakuu. Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi. Kaomba leseni, mimi sina na...
11 Reactions
99 Replies
4K Views
Wafadhili wengi (donors) hutakiwa kwa mujibu wa sheria zao ndogo ndogo (by laws) na maamuzi ya vikao vya bodi; kutoa kiasi cha fedha kila mwaka kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya maendeleo. Hivyo...
10 Reactions
36 Replies
42K Views
MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
How to Start Making Money Online with Zero Investment in 2025 Introduction: Are you tired of watching others make money online while you’re stuck wondering how to begin? The good news is — you...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Utangulizi Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri. Tofauti kati ya fedha na utajiri Fedha ni...
1 Reactions
5 Replies
727 Views
Habari ndugu zangu wa JF Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma. Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
2 Reactions
4 Replies
694 Views
1. Utangulizi Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…