Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu nimetumiwa mzigo kutoka uingeleza umefika Kenya moi airport na nimeambiwa kuu safilisha ni El 89 mpaka Tanzania. Je ni kweli au ni utapeli?
11 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Biashara na Fursa Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko...
7 Reactions
77 Replies
8K Views
Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nikitaka kuanzisha na kufanikiwa katika kutoa huduma ya massage nizingatie nini? 1). Kibali kinatolewa baada ya kukamilisha nini? 2). Profesional Masseuse /masseur wanakua na...
6 Reactions
115 Replies
5K Views
My Take Kwa hili natoa pongezi sana Kwa Serikali ya awamu ya 6 Kwa sababu Sasa tumepata njia Mbadala ya kutunza hela huku ukipata faida badala ya kuziacha benki wakituibia Kwa makato ya kiwizi...
2 Reactions
3 Replies
305 Views
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21, Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck. Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa...
8 Reactions
53 Replies
8K Views
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau wa JF, habari zenu? Katika hali ya sasa ambapo bei za mazao hubadilika mara kwa mara, ni muhimu kujua mwenendo wa soko ili kufanya maamuzi sahihi ya biashara na ununuzi. Leo tunajadili bei...
10 Reactions
83 Replies
13K Views
Kila mfanyabiashara wa saloon ya kiume anatakiwa kuwa na leseni ya biashara ili kutambulika kisheria. Sheria ya Leseni ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 inaweka wazi kuwa kufanya biashara bila...
1 Reactions
0 Replies
609 Views
Meet the offers you can’t refuse. Whether it’s for personal or business use, you need a web hosting service like Computer Springs to get your ideas online. No matter which plans you choose, you...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA. Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa...
7 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
4 Reactions
56 Replies
13K Views
Umuhimu wa Leseni ya Biashara Kwanza kabisa, ni muhimu kufahamu kuwa kufanya biashara bila leseni ni kosa la kisheria. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 inaeleza wazi kuwa kila...
1 Reactions
0 Replies
464 Views
We specialize in sourcing premium used and New cars directly from Japan, Dubai, the UK, and South Africa, ensuring quality and reliability for our clients in Tanzania. 📍 Visit Us: CCM Building...
1 Reactions
2 Replies
362 Views
Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online. Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo. Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today; 1. Kwenye halmashauri Unaweza kwenda...
2 Reactions
1 Replies
491 Views
Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…