Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ( faida ) ya 50,000 kila siku GUARANTEED Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Hivi kama una mkopo bank, na hiyo bank ikafilisika. Ni Nini hatima ya mkopo uliokuwa nao?
0 Reactions
4 Replies
307 Views
Nembo ya biashara ni alama ya kipekee inayokutofautisha wewe na washindani wako. Hii ndiyo “utambulisho” wa bidhaa au huduma zako sokoni. Inaweza kuwa jina, mchoro, neno au hata kifupi cha jina...
1 Reactions
0 Replies
376 Views
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
WACHIMBAJI MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA MADINI ▪️Wapongeza ugawaji wa Leseni kwa wachimbaji wadogo Singida ▪️Singida wavuka malengo ya ukusanyaji wa...
0 Reactions
1 Replies
476 Views
JF, Naomba ushauri,nahitaji kujenga nyumba ya bei nafuu(ya kawaida tu)Chumba,sebule,jiko,choo na store inanitosha kwasasa....nina kiwanja toangoma,wilaya ya temeke,Dar es salaam. Nikitazama mfuko...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Ni mimi tena, mjoli wenu. Baada ya kuwa off platform siku nyingi, sasa narejea kwa kasi fulani hivi. Jana tu nilisherehekea siku ya kuzaliwa. 38 sio haba, na bado 38 zingine...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu habari, Wapi tapata soko la mihogo kwa bei nzuri? Natarajia kuvuna mwezi huu. Shamba lipo Miono, Bagamoyo ila wanunuzi wa pale ni madalali wanalalia bei. Na eka 5 ziko tayari kuvunwa...
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kijana mdogo Ontario licha kupiga hela ndefu kwenye forex. Kashindwa kunawiri na kuwiva kama dogo mwenzake mpigaji kutoka south Africa Sandile Shezi.
15 Reactions
98 Replies
13K Views
Katika uhalisia wa karne hii ya 21, kutajirika si suala la “luck” au bahati nasibu, bali ni outcome ya akili ya kibiashara yenye foresight, uelewa wa market dynamics, pamoja na uwezo wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu salama? Je, ni fursa gani zinapatikana katika jiji la Mbeya
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Habar wakuu nimekuja kwenu mnipe uzoefu nataka kununua feni 10 hizi al maarufu panga boy Nikampuni ipi imara na Bei nzuri feni panga boy
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani. Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa...
1 Reactions
5 Replies
572 Views
Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Habari wakuu Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu ndugu,jamaa na marafiki[ japo sina rafiki humu ndani,kama upo Mbeya unaweza nicheki tuka bang]. Moja kwa moja kama maada inavyosoma hapo juu,kuna pacha yangu ambaye hayupo...
4 Reactions
6 Replies
562 Views
Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…