Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana jf, Mimi ni mkazi wa dodoma (nje ya mji), naomba kuuliza kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara ya bidhaa tajwa hapo juu Maswali yangu ni kuwa 1.dozen ya mifuko ile black...
1 Reactions
60 Replies
25K Views
Habari ya mchana wakuu Nahisi kuchanganikwa hapa, nimefungua biashara hii week ya tatu tangu tuanze, ila naona imedorora sana, pesa iliyopatikan ni ya kulipa watumishi tu,hivi hii ni kawaida kwa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral The market went upwards last week, to test resistance line at 1.2450; a level from which a bearish correction was...
1 Reactions
3 Replies
630 Views
Neno FAIDA linasikika sana katika masikio ya watu kila siku, ni kati ya maneno ambayo hata kutamkika kwake ni rahisi. Kutokana na sababu hii watu wanavutwa sana wanaposikia kuwa faida inapatikana...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
nina wazo zuri kabisa na nimeliandika la kuanzisha kiwanda cha juisi ambayo ninaimani inahitajika sana tu ila shida mwenye mtaji wa kumshirikisha (wafanyabiashara wakubwa) nani nimuone maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna Baadhi ya watu kumbe umasikini sometimes upo kwenye damu .. Hebu Angalia haya majibizano kati ya muuzaji wa magari na mteja.. Gari ilikuwa inauzwa Mil 7(fixed) kaandika muuzaji wateja...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
No1: Hakuna biashara nzuri wala mbaya. Taarifa sahihi ya kile unachotaka kufanya ni hundred times better kuliko mtaji na idea yako. Mara nyingi unaweza kuwa uko-stucked mahali fulani kwa sababu...
25 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wanajamii. Nimekuwa na shauku kubwa sana ya kuwekeza katika amana na dhamana hasa za serikali. Lakini nimekuwa nikipigwa danadana na watu wa kati ambao ni CRDB Bank. Mwezi Januari nilitaka...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za humu wakuu. Naombeni ushauri ni ipi njia mbadala ingine itakayoweza kunitoa kimaisha. Nahitaji kutokana na fikra ya mkopo.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THE Fair Competition Commission (FCC) has seized counterfeit products worth 39.3m/- in an operation in Mwanza city between May 29, 2016 and June 2, 2016. Speaking here yesterday, the FCC Senior...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Stori ya pesa na mafanikio ni stori ambazo zimekuwa zikizungumzwa kila siku katika maisha yetu. Stori hizi hazihitaji hata watu wawili kwani hata mtu mmoja mmoja peke yake anaweza kujipia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini makampuni makubwa kama ya magari mfano NİSSANİ,VOLVO,SCANIA na mengine ikiwa ni pamoja na mashirika makubwa ya ndege kama vile BRITISH AIRWAYS,AMERICAN...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Ningependa kufahamu kwa wale wenye uelewa wa fursa za kibiashara zilizopo nchini uturuki karibuni tubadilishane mawazo, nategemea kwenda huko mapema mwezi wa tano kwa shughuli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nimepoteza till ya MPESA chip no 2 ya kufanyia miamala natamani kujua utaratibu wa kurenew na muda nitakaotumia mpaka kuipata, vigezo na viambatanisho muhimu vinavyohitajika.. Naomba Kusalisha
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanabodi, Ningependa kujua ni nani anasimamia usafi na miundombinu ndani ya masoko yetu Dar es salaam. Mvua ikinyesha kidogo masoko yetu yanakuwa kama Goma, Congo ni mwendo wa tope na uchafu wa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
By Hussein Boffu The construction of the 1445-kilometer East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project is another gold rush. The campsites have been built and some jobs related to studies and...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika miradi na vitega uchumi tunavyoanzisha, wengi hatuwashirikishi watoto wetu mapema. Siku ukipata ajali, ugonjwa au kifo ndipo mke/mume au mtoto mkubwa anapokabidhiwa biashara au mradi...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Mambo vp wanabodi natumaini wote ni wazima wa afya njema, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta watu wa kushirikiana nao kwenye biashara, mimi nina blog na Online TV kwa upande...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani kuna masufuria ninayahitaji ya kkupikia vyakula vya mashughuli zenye uwezo kuanzia kilo 50 hadi mia katika mtandao unaoitwa jumia nimejaribu kuwaandikia ili niwe na uhakika na...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Habari wana JF, Kwa majina naitwa Seki Mlekoni Mtulia mwenye umri wamiaka 23 nayeishi Dar Es Salaam- Mbagala. Nina wazo labiashara/mbinu yakuingiza profit safi. Biashara inaitwa IQ option...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…