Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HIVI UNAJUA? Na, Ikwataki Audax Unajua, kuna wasomi wanawapuuzia watu ambao hawajasoma kama wao.. Yaani hawa wasomi hawataki kuwapa nafasi wenye elimu ya chini kushirikisha ideas...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu waungwana natarajia kuanzisha mgahawa au sehemu ya kuuzia chakula cha kupikwa ila nategemea kuweka msimamizi au manager wa kusimamia hiyo biashara kwa kuwa mimi nina biashara nyingine...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari wanajamii mimi ni kijana nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nataka kufanya biashara ya kuwa nachukua mpunga mashambani na kuja kuuza kasulu mjini ikiwezekana mwakani nianze kuulima pia mwenye...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
...Uamuzi wako wa kusikiliza sana maneno ya watu na kuwafanya wao ndio majaji na wa waamuz wa maisha yako, yaani mpaka wakuthibitishe wao ndio ufanye jambo, itakugharimu nguvu nyingi sana Kufikia...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni Pilicy ambayo ingegusaidia sana
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi wanaume sio wote wamepewa uwezo wa kiume -Wengi wamekwama -mitaji. hawana -njia hawajaijua -wanaume tuwezeshane kiuchumi -wanaume wa tanzania tunaweza zaidi Natafuta wa kuniwezesha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
#MONEY_MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. #MONEY_MISTAKE 2 Usitumie pesa...
8 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau nmepangiwa kaz Kilwa-Kipatimu Shule ya msingi Nasaya,,,,, Naomba maelez ya kuosha kuhusu eneo husika 1-Kodi ya nyumba 2-Umbali na usafir kutokea mkuranga 3-Huduma za kijamii n.k
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Za mda huu wadau JFGT, naamini mko vizuri na siku mnaimalizia kwa amani Niende kwenye mada; Katika utafutaji wa maisha hasa pale unapoamua kujikwamua kimaisha na hali bado uko chini sana na...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa sana . . Nimefanikiwa kua na kibanda changu cha tigopes maeneo flani hapa dar... Kabla sijamuweka mtu Wa kufanya huduma kwenye...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wapendwa kuna mtu kaniambia kuna biashara nzuri ya maharege na Dagaa Nyasa kutoka Tanzania huko Africa ya Kusini. Mwenye kufahamu kwa kina naomba atupe ABC zake hapa
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu, mimi nina bidhaa nyingi mnoo aliexpress zaidi ya mwaka sasa nina mizigo ya aina 15 hivi inakuja sasa issue ni kuwa leo nanunua inaniandikia kwamba the total number of order exceed...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika watu wakuangaliwa mno ni hawa wafanyabiashara wadogo hususan vijana wanaonunua bidhaa njee ya tz na kuziingiza nchini, nadhani kuna haja ya serikali kupunguza au kuondoa hizo kodi za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Swala la Location ya Biashara linahitaji hesabu kari sana. Watu wengi sana wanachemka mno hii sehemu. Unakuta mtu ana wazo zuri sana ila location huja kuua lile wazo. Wengi baada ya Kodi ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko sehemu ambayo siwez fika benk ila nina check hapa,kwenda kuchukua hela nimekwama,nijulishen ndugu lin chek huwa ina expire
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za saa hizi waungwana, Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata mkopo wa biashara kwa kutumia dhamana ya kiwanja anielekeze. Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari! Nimepata deal la kuuza bidhaa nje ya nchi ila moja ya vigezo vyake package lazima iwe na barcode, kwa hapa bongo wapi naweza kuipata? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…