Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Juzi nilikuwa nimeenda kule Tarime nimekutana na fursa nzuri sana kwa vijana walio serious, kule ndizi ni bei rahisi sana na parachichi hazina mnunuzi zinaozea shambani. Kama una mtaji wa...
3 Reactions
10 Replies
11K Views
Tanzania’s ongoing macroeconomic reform program has received a boost from the African Development Bank through a US$40- million budget support loan to be provided by the African Development Fund...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Wanajanvi naomba kujua namna ya kusajili yutube /blog tcra. Naona tcra wamezima adb control za mawakala wa connections za YouTube. Nawasilisha kwenu kwa mablogers
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wanajf, nahitaji kutengeneza na kuuza chaki. Naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu chochote unachofahamu kwenye biashara hii. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama kuna anae jua bei ya plaster of paris na wapi naweza pata anitex jaman...0713867143
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Benki ya CRDB imetangaza punguzo la riba kwa mikopo ya wafanyakazi kutoka asilimia 22 hadi asilimia 16 ili kurahisisha upatikanaji na kufanikisha mipango waliyojiwekea. Mkurugenzi Mtendaji wa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau; Katika kufanya utafiti nimegundua kuwa kuna changamoto ya utumiaji wa Laptop katika taasisi za elimu ya juu na hilo limenifanya nifikiri mradi wa kukodisha Laptops kwa wanafunzi wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari. Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza...
27 Reactions
44 Replies
11K Views
Tumefurahi kuungana rasmi na KPMG ambao ni wataalamu na washauri katika masuala ya biashara, na Mwananchi Communication Limited kama madhamini mkuu katika mchakato wa kufanya uchunguzi wa kutambua...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Salamu wakuu.....!!! wakuu kama kichwa cha habar kinavosema naomba kujua mwenye ujuzi na hivi vitu gharama ya kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguo kuanzia kuchakata pamba mpaka kutoa...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Changamoto inayonikabili mimi ni upungufu wa mtaji, na mtaji nilio nao mm ni Eneo zuri maeneo ya Mwenge DSM, nahitaji mtu ambae tutawekeza pamoja, Habari niliyoifikia mm ni ufugaji wa kuku wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii bank walikuwa serious na customer care nzuri lakini naona sijui wameingiwa na mdudu gani? Yaani week mbili nashughulikia nyongeza ya mkopo (topup), mara lete hiki, mara kile, vitu ambavyo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
wakuu nataka kufanya biashara ya electronics nijikite kwenye samsung na iphones , laptops pamoja na video game consoles kama ps4 n kadhalika, nn mawazo yenu kuhusu mpango huu, ?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu salaamu. Ningependa kujua ni vitu gani hufanya mradi ufadhiliwe na mashirika ya kimataifa kama UNIDO, DANIDA, UNEP. Na je, mashirika yanasapoti kampuni binafsi zinazofanya mambo yaliyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je ni benki ipi inayotoa huduma nzuri na yenye Gharama nafuu? Ushauri..
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Maneno bahati mbaya na nzuri yamekuwa yakisikika sana katika vinywa vya watu wengi duniani, mtu akifanikiwa kutoka salama katika ajali watu husema kuwa “yaani imekuwa bahati nzuri ametoka salama”...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habarini wanabodi. Moja kwa moja kwenye mada. Unataka kuanzisha biashara? Hakuna kitu kinauma kwa mjasiriamali yoyote yule kuona biashara, project au wazo flani ambalo aliamini laweza kumtoa...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Hello wadau, IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, pamoja na shughuli nyingine katika field ya "Project development services", Leo nahamasisha wadau katika uwekezaji kiuchumi na kijamii. Kila siku watu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Assalam Aleykum wakuu Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki...
3 Reactions
166 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…