Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Siku chache baada ya Watalii 300 kutoka Australia kutembelea nchini kwa mara moja,kundi lingine la Watalii zaidi ya 100 kutoka Uswis limewasili nchini na kutembelea vivutio vya Wanyama katika...
1 Reactions
15 Replies
45K Views
HAKUNA MSHAHARA UNAOMTOSHA MTU, UKIONA MSHAHARA HAUKUTOSHI, ACHA KAZI. AU FANYA VIBARUA VYA KAWAIDA MTAANI TU. AU NENDA KWENYE SIASA UKIINGIA KWENYE SIASA, JE UNA KAMATI NZURI YA WATAALAM WA...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
★ PATA MKE SAHIHI Achana na wanawake Warembo ila Kichwani ni Zero. Tafuta mwanamke ambaye sio tu ataunga mkono maono yako lakini pia atakusukuma ili uyafikie maono..... Mwanamke atakaye...
13 Reactions
42 Replies
15K Views
Hivi kanuni ipi ni nzuri kupata future value baada ya kupata thamani ya year one. Na future interest rate mara zote inatakiwa iwe kati ya ngapi na ngapi
0 Reactions
3 Replies
987 Views
For economists, bankers and financial analysts only!!
0 Reactions
3 Replies
879 Views
Domination. Ethiopian Airlines, after acquiring 45% of Zambia Airways, 49% of Guinea Airways and 100% of new Ethiopia-Mozambique Airlines, has taken 49% ownership of Chad Airlines in relentless...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
naomba kuuliza ! CRDB walinikopesha milioni saba! NMB walinikopesha laki saba! CRDB namaliza mwakani mwezi wa nne kulipa mkopo wao. Hivyo wananidai milioni mbili na laki mbili na sitini elfu. NMB...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naitaji kufungua mgahawa sehemu mbili tofauti maeneo ya Mlogalinza na mawasiliano karibia na chuo cha wanafunzi wa sheria sina uzoefu sana na hii kitu na mtaji upo wa kujitosheleza. Naomba kujua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimejichanga mbali na vyuma kukaza nahitaji kutimiza ndoto yangu mwezi ujao ila bado nipo dilemma katika kufanya maamuzi maana gari zote hizi nazipenda ,Toyota Rav4 new model na Toyota vanguard...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu? Poleni kwa majukumu ya siku nzima Nakuja kwenu kuomba ushauri. Nahitaji kufanya biashara kwenye huu mji ninaoishi lakini October naenda kusoma mkoa mwingine na mimi bado sijakomaa ki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mkopo wa dharula wa sh.250,000/= dhamana yangu ni laptop ya sony. Proccesor i5 Hd 300gb Ram 2gb Win 8 Kwa mwezi mmoja tu. Tuwasiliane kwa 0755 360552 Nipo dar.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hebu taja kampuni zinahusikana na kutoa viwango vya ubora katika sekta tofauti ukiacha TBS , hasa hasa katika media buying.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam, Hivi ni wapi naweza kupata mkopo wa haraka kwa Moshi na Arusha, dhamana Gari, Kiwanja..........
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna watu wanaamini kwamba Hali za kimaisja zikiwa nzuri basi ndipo hata biashara zitafanyika. Ukweli ni kwamba kwenye wakati mgumu sana ndo hapo huwa kuna Inovatios, Kwenye kipindi kigumu sana...
12 Reactions
17 Replies
3K Views
UNDERDOG BUSINESS/PROJECT Underdog ni ile hali ya watu wengi au majority kuwa na imani kwamba hutafanikiwa au hutashinda kwa unacho kifanya au unacho shindania. Yaani asimilia zaidi ya 99 huwa...
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninapo zungumzia shadow nazani naeleweka. Hii ni sawa na ilivyo Baraza kivuli la Upinzan pale Bungeni. Kwenye Biashara napo kuna Shadow Director. Hawa ni watu Very portential ambao huwekwa kama...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu ndo ukweli ambao hutakaa uambiwe ila ni ukweli mtupu na iko hivyo. Hakuna mtu atakae kuambia fanya hiki au fanya kile UTAJIRIKE au KINALIPA kama yeye hatapata chochote kile kutoka kwako...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wachina inapo kuja swala la Ushirikiano wako juu sana. Viwanda vyao vingi na hata kampuni zinazo kuja kuwekeza huku na kupewa tenda za kujenga Barabara na Majumba ni muunganiko wa watu wengi...
29 Reactions
90 Replies
9K Views
Napenda kuwasalimu nyote katika jukwaa hili la mambo muhimu! Ningependa kujua kama kuna mtu anayejua bank ambayo inaweza kutoa mkopo kwa dhamana ya shamba la miti au kiwanja na conditions ambazo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hii Dunia kwa sasa kama akili haifanyi kazi kwa speed kari basi ni shida tupu. Kwa sasa Wenye akili wamekuwa wakitengeneza wajinga wengi sana akilini mwao ili wale wajinga sasa wa implement Idea...
12 Reactions
100 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…