Strategise centralised data system for investors, TPSF tipped
Tanzania Standard Newspapers Ltd
3-4 minutes
TANZANIA Private Sector Foundation (TPSF) should source a centralised...
Wakuu habarini! naomba mwenye kujua kuhusu gharama za uwekezaji wa biashara ya mafuta, ukianzia na mantaki, mita na ujenzi wa miundo mbinu ya kituo, biashara hii nataka kuifanya dodoma. kiwanja...
Maeneo mengi nasoma juu ya hali ngumu kwa wawekezaji, mara hali mbaya kiuchumi, usalama nk
Hebu naombeni tuweke vivid examples za makampuni/wawekezaji walioamua kuondoka TZ na ku relocate maeneo...
Ndugu zangu hili ni pigo kubwa sana kwa wafanya biashara na watu wanaofanya biashara kubwa za kuagiza mizigo nje ya nchi. Mwezi uliopita tu ilikua kwenye 2200
habari zene ndugu wanajamii
me ni mmoja wa watu ambao ninataka kuanza kufanya biashara ya bodaboda
nimepata dereva mzuri ambae ni mwanifu sana kuliko maelezo
nichoomba ni kuwa mfano mkataba wa...
Eneo gani zuri kwa biashara ya game kama vile playstation kwa Arusha? Napenda nije Arusha nichanganye mazingira mapya, sasa sijajua ni sehemu gani ambayo ni nzuri kwa game na makazi pia
Naomba ushauri wenu wa kinaga ubaga nataka kuanzisha biashara hii ....!
Je
Biashara hii inalipa ?
Zipi faida na hasara zake ?
Na nyongeza nyingine nyingi karibuni katika jukwaa tena
Nakaribisha
Wapendwa, habarini zakwenu? ninatoa utabiri wa equity bank kua bank itayokuja kuongoza kwa kutoa huduma bora tanzania, kua na mateja wengi tanzania, kwa ukuaji wa kasi, kwa ubunifu wa huduma...
Uongozi wa juu katika kampuni (executive leadership) ni dira katika kuhakikisha kampuni inafikia malengo yake (corporate objectives). Uono wa kimkakati (strategic vision) ni ufafanuzi juu ya wapi...
Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa...
MeTL to Start Tanzanian Bank After Abandoning Barclays Plans
Tanzania’s MeTL Group, one of the country’s largest privately owned diversified manufacturing companies, plans to open a commercial...
Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu!
Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani...
Wasalaam!
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage...