Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana jf naambatanisha na screenshot kutoka account yangu na nimeacha ubini tu wa kitanzania Ili ujulikane kweli ni account yangu mimi mtanzania. Nikiwa mdogo sana nilikuwa naamini kuwa...
14 Reactions
79 Replies
10K Views
Habari zenu wapendwa, Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania na Rwanda zips katika hatua ya mwisho ya makubaliano ya kupanua mradi wa reli ya kisasa 'SGR' itokayo Isaka, Tanzania hadi Kigali , Rwanda na sasa itaongezwa hadi Rubavu mpakani mwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana if.... Naomba kujuzwa kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na biashara ya maziwa ya ng'ombe kuanzia lita 100 mpaka mia tano je mtu unaweza anzisha small firm ya package...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Huu mradi uliwahi kujadiliwa humu jamvini siku za nyuma lakini ilwekwa jukwaa la Siasa na ilijadiliwa kisiasa zaidi na uzi ukapoteza mwelekeo. Hivi sasa dalili zinaonyesha kuelekea kwenye...
4 Reactions
42 Replies
17K Views
Hivi sumatra hawajaliona hili, haiwezekan kwenye maji kukawa na bei kubwa sana mwendo wa saa 1.30 na Dom mwendo wa saa 9 mpka 10 Naomba kujuzwa tofauti yake au huwa wanaangalia nini, maana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Fore all those who are interested in the field of Agricultural Economics and Agribusiness; You are kindly welcomed to join The Tanzania Agricultural Economics and Agribusiness Association...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
jambo ambalo sja lielewa ni kukazania tanzania ya viwanda na huku tuna elimu mbovu na atuna teknolojia yeyote tunayo weza kuitumia ili tufike kweny ivo viwanda mi nnavyo fahamu tungekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utangulizi Biashara ni utafutaji na usambazaji wa mahitaji ya walaji au watumiaji katiks sehemu mbalimbali. Ili biashara iendeshwe kwa mafanikio kuna taratibu za kusheria ambazo nilazima...
10 Reactions
3 Replies
19K Views
Source: Wakulima wa korosho walipwa bil. 133/-
0 Reactions
2 Replies
751 Views
Nimeshangazwa kidogo na huduma za mtandao wa Aitel nimekuwa nautumia kwa kitambo kidogo hatimae nikaibiwa simu nikabaki na laini yangu niliosajiri kihalali ikiwa pamoja nakuitumia kwa Aitel money...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu,naomba kwa wale wote Tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na Computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na Computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa...nitafute kwa...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari Fastjet yapewa notisi ya siku 28, yatakiwa ijitafakari Mamlaka ya safari za Anga Tanzania (TCAA), imetangaza kuwa kampuni ya ndege ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu msomaji popote pale ulipo, na matumaini uko salama hadi wakati huu, ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwani wengi walitamani kuwepo leo lakini hawapo kwa mapenzi yake Mungu...
1 Reactions
14 Replies
20K Views
kumekuwa na rushwa na ufisadi usiojali maslahi ya nchi hata kidogo kwenye utoaji wa tenda za insurance/ Bima yanayo husu mashirika ya umma. ni mtindo sasa kwa mashirika mengi kutoa tenda kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
> Mamlaka hiyo imesema inatambua uwepo wa Watanzania wanaofanya biashara kupitia Mitandao ya Kijamii hivyo wote watakiwa kujitokeza ili wapewe namba ya mlipa kodi(TIN)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hapa na pale kila uchwao naona wenye uthubutu wakiimarika, inatia moyo sana.... Pongezi kwa wale waliochagua mbio za mwendo mrefu na medani zisizotundikwa kifuani. Wadau leo naomba mlitupie macho...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…