Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habarini za asubuhi ndugu zangu Kuna kampuni inajiita enternal international wanajishughulisha na kupima mwili mzima kwa sh elfu 10 kisha wanakuuzia dawa Hii kampuni ni network marketing ila wao...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari zenu Wakuu! Natafuta mtu wa kunikopesha milion 3 kuna jambo nataka nifanye, na uhakika wa kumlipa ndan ya miez mi2 milion 3 na nusu. Nitailipa kwa uaminifu mkubwa tu Kiwanja kina hati ya...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari yenu wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kumekua na misemo na dhana kwamba wasomi wengi hawapendi au wanashindwa kujiajiri, na hutegemea kuajiriwa tu au kazi za mteremko...
9 Reactions
166 Replies
19K Views
Hii biashara inalipa sana, sema wamiliki walio wengi nao lazima wanaoja. Je kwa mtu asiyetumia pombe hii biashara ni rafiki kweli? Kozi nimeona wengi sana ambao hawakuwa walevi ila wakianza hii...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
ATI ni Association of Tanzania Insurers. ATI waliweka tangazo kwenye magazeti mbalimbali wakitaka wamiliki wa hospital binafsi wawe wanachama wao ili waweze kufanya kazi na mashirika ya bima ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna mtu yeyote ana pochi ya Ipad tuelekezane bei. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Kama kuna mwanajf mwenye kunijuza maeneo zilipo tunda la parachichi aina ya hass kwa Moshi au Arusha anipe info's anijuze hapa au aje PM kama yuko nazo, siitaji parachichi kuchukua maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nataka kuwa wakala wa tigo pesa,m pesa na airtel money + luku . Lakini sijui nifanyeje ili nipate line hizo mwenye kujua anisaidie.
1 Reactions
22 Replies
21K Views
Hii da frex inadili na nn naitaji kujuzwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
670 Views
Tangu mwaka jana mwez wa 8 nilidhamiria kutoka maisha ya home na kwenda kupanga....!!maana nilihisi itakuwa vizuri zaidi kwa mimi kupanga mipango ya maisha....lkn pia ni kwakuwa ni mwanzo wa...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Mawazo yako ndio yanaongoza ndoto zako usiyaache yakapeperuka na kubadilika kila siku andika utapata msingi wa kuanzia ili kuifikia ndoto yako. Unaweza kuwa na ndoto moja ila namna ya kuifikia...
18 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu Wanajamiiforum, Salamu sana. Kwa ufupi yupo ndugu yangu ndo ameanza kuhudhuria mafunzo ya biashara na anatakiwa awe na smartphone, Kisha kazi Yake ITAKUWA kuwasajili wajasiliamali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sikia.... BAKI NA HELA ZAKO Mzee Mengi alikuwa na gazeti linaitwa ALASIRI. Halikuleta faida. Lete Raha vile vile. Ushindani wa magazeti mengine ulikuwa mkali. Wasomaji wakabadilika. Internet...
76 Reactions
138 Replies
24K Views
Dr Magufuli awataka NSSF kuanza ujenzi wa daraja la Kigamboni mwaka huu By admin– March 25, 2011Posted in: Habari Mchanganyiko Na Tiganya Vincent_MAELEZO-Dar es salam Serikali imeliagiza...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza. Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Wadau wa jf habari zenu naombeni kujua bei ya ulezi huko mikoani anayefahamu aniambie nina gunia kadhaa ili niuze Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Wadau ningependa mtu anayeifanya biashara hii anipe abc zake,maana mtaa niliohamia nimeona kuna fulsa sana ya kuanzisha hii biashara ya mitungi ya gesi kwa matumizi ya majumbani.ninahitajika niwe...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
habari wakuu, mimi nipo mkoani na nina mpango wa kununua Hisa sa kampuni mojawapo iliyosajiliwa dse, tafadhari anayejua mchakato wake, anijuze
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache...
1 Reactions
2 Replies
909 Views
Habari zenu wakuu Nimekua msomaji wa thread humu kimya kimya na kiukweli nimejifunza mengi Ningependa kujua hii biashara ya uber inalipa, sina ufahamu mzuri kuhusu hii biashara japo watu wachache...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…