Wakuu...naomba kujua taasisi/kampuni ambayo inakopesha malori (Malori ya kichina) kwa mfumo wa Asset Finance.
Yaani unakopa Lori (kwenye kadi kunakuwa na majina mawili, la mmiliki na...
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi...
Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii...
Wakuu nani ana idea ya soko la hili jiwe nimeliona mahali liko hivi
1.linarangi mingi kama rainbow
2.kwenye giza linangara(mimi sikulitest maana nililiona mchana)
3.linauhai linahifadhiwa...
Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta.
Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven...
Ninategemea kuwepo dsm kwa miezi mitatu , nina miliki Gari ndogo Toyota Wish sasa issue inayonileta mjini ni masaa 8 per day kuanzia saa 9 nakua free na weekends nakuwa free sasa nawaza huo niwe...
Habari za wekeend wanajukwaa. Hongereni kwa ibada wanaoenda siku kama ya leo,naamini wengine wameenda juzi na jana ila wote tunamuomba Mungu mmoja wa haki. Hakuna anayeenda ibada kuombea...
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria.
Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini.
Na moja ya mambo ambayo watu...
Habari, Nahitaji kujifunza kuhusu kupamba kumbi za sherehe Kama zile za Maharusi etc.
1. Kwa Mwenye abcd kuhusu hii Biashara ya Mapambo anipe ushauri na changamoto zake .
2. Naomba anijuze pia...
Kahama mjini wana tupeane madili
Kwa walio msalala naomba kufahamu kuhusu kilimo cha bustani inakuwaje ?
Watu wa mikoa mingine kama una dili weka hapo chini.
Tupeane fursa
Tunasema…
Moja ya eco – system zenye PESA nyingi zaidi duniani basi ni pamoja na…
“MPIRA WA MIGUU”
A.K.A… SOKA!
Yaani…
Ukikaa sehemu yoyote ile ndani ya MCHEZO wa mpira wa miguu basi una...
Wakuu bila salamu ningependa kuuliza/kuomba msaada wa maelekezo najua kwatanzania paypal inazingua kutoa hela ila sina uhakika ikiwa kama inazingua kwenye kuweka.
swali langu ni kwamba je...
Hellw JF, natoa huduma zifuatazo.
Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu
Huduma katika masuala ya ajira
1. Kujisajili ajiraportal
2. Kujisajili taesa
3. Kujisajili katika bank portals
4...
Salaam Wanajamiiforum!
Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu...
BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT
Biharamulo ndio wilaya yenye miundombinu imara zaidi katika mkoa wa kagera ,inakuungamisha na Mkoa wa Geita ,Mwanza ,Uganda,Rwanda ,Burundi, Kigoma hadi DRC...
Asalaam wana JF,
Well, as most of y'all knows, i am very dedicated kwenye ufugaji kuku and recently nimeingiza vifaranga 1000 vya layers and yeah, i will be sharing experience ya namna ya kuvilea...
Habari za muda huu wakuu...naomba kufahamu kiwanda au mahali nitakapo pata mifuko hii ikiwa kiwandani kilipoa jumla nahitaji mingi sana ikiwekana nifamu na bei zake