Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari Ninatafuta partner. Masharti : Awe na skype, tuzungumze kwa haraka. Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja. Ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rich people are different from the poor just because of simple arithmetic. People become rich if they are able to make effective use of their income and time. If you're an observant person, you...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika ulimwengu wa biashara kuna fursa nyingi ambazo mtu aweza kuzitumia ili kupiga hatua maishani.Baadhi ya mbinu hizo ni pamoja na hizi hapa chini: Kuwa reseller wa huduma au bidhaa.Katika...
8 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari ya Kazi Wakuu. Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzaia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau, Nahitaji kuweka pesa kwenye, paypal accont, naombeni njia itakayonisaidia kufanikisha hili maana nimejaribu kuangalia mpesa wao wana mastercard tu Asante.
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Thanks2
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hizi iPhone kuna moja feki nyingine original, taja kulia feki au kushoto original tujue kama unatambua hili. 1.Kulia...... 2. Kusoto.......
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimepitia banks na microfinances nyingi zinazotoa mkopo kuangalia criteria zao na naona criteria nyingi nafudhu ikiwemo ya Asset au Collaretal. Criteria moja ambayo bado nahitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ili ufanikiwe katika maisha lazima uwe muuzaji(sales person) mzuri Hizi ni mbinu unazoweza kutumia katika kuuza bidhaa, huduma au siasa. 1. Taja namba/sifa kubwa kubwa zinazovutia watu...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri, Okey twende kwenye Mada kidogo Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwema wakuu.!! nilikua nahitaj kupata mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoef kidogo na biashara gani mtu anaweza fanya kwa kuzungusha madukani na kufanya delivery kwa baadh ya watu. mfano hawa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Vipi hii apps ukiagiza mzigo ni uhakika upokeaji wake na vipi kuhusu ulipaji wake Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Kuhusu hii kampeni ya mnada poa ya Vodacom, Je ni kweli? Na kama ni kweli, mbona hatuoni hao washindi wakitangazwa?
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Hawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI) Na wanatumia media kwa nguvu kubwa. WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari za leo. Naomba kujuzwa Bei ya brown rice jijini Dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Kwa wasio yajua, au pengine unayajua lakini hujui kama ndio nayazungumzia. Ni haya picha. Yanakua ya urefu wa 8Ft na upana wa 4ft, Unene wa 12mm au 18mm Naomba Wazoefu ya haya ma Board, au...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
AINA YA UCHIMBAJI Unaweza kuchimba dhahabu kama: 1:Mtu binafisi 2:Kikundi 3:Ushirika 4:Kampuni A: MTU BINAFISI Hapa wewe ndiye utakuwa mkurungezi (boss). Gharama zote za uchimbaji utahusika wewe...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba kufahamu iwapo unapokata bima ya trekta na tela linakatiwa bima yake. Au tela halikatiwi bima. Iwapo linakatiwa bima, ni kiasi/gharama gani kwa mwaka. Bima ya kawaida (third party). Sent...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, Naomba muongozo wa namna mnavyosafirisha mizigo kwa wateja wenu nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Kenya Zimbabwe na Congo! Na ningependa kujua kama mnatumia haya mabasi ya falcon au...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Back
Top Bottom