Aina za Samaki
Sangara. Kg 1 Tsh 10,000
Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000
Sato. Kg 1. Tsh. 9,000
Migebuka Kg 1. Tsh 8,000
Nungi. Kg 1. Tsh 8,000
Kungura. Kg 1. Tsh 8,000...
utajiri unaanzia akilini mwako.
faida za kuambatana na watu matajiri
utajifunza;
mbinu za biashara,
nidhamu ya fedha,
jinsi ya kufanya big investment,
kubadili mtazamo.
Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu.
Mzigo wa mwisho...
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa.
Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Habari Zenu wakuu!!!!
Nataka anzisha biashara ya MICROFINANCE lakini Nimefanya utafiti nimeona lazima niwe na mtaji wa 20M ndo nipate kibali BOT , Sasa apa nikipiga hesabu kufikisha 20M ,Ni...
Habar wakuu nimekuja kwenu kutaka msaada wa mawazo,nataka kupungua tawi la biashara ninayoifanya,tawi Hilo litakua km40 Toka nilipo nataka nimuweka mtu aniuzie
Sasa ntawezaje kusimamia ili...
D-AGRO ENTERPRISES
1. UTANGULIZI
D-AGRO ENTERPRISES inajihusisha na uzalishaji, usambazaji wa pembejeo, na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima. Imesajiriwa Brela, Tumejikita katika kuinua kilimo cha...
Nafasi za kazi huria
Kazi ni digital services
Mshahara -100k kwa mwezi
Uwe na simu
Uwe mkoa wowote
Mkataba upo
Uwe una uzoefu wa kuongea na watu
(Communication skills)
Ushawishi muhimu
Wanaotaka...
Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia simu za mkononi. Huduma hii inatumiwa na makampuni, mashirika, au hata watu binafsi kutuma ujumbe mfupi kwa...
Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala...
Dear Editor
I wish to inform you that Anem Brothers Group Limited based in Mwanza, Tanzania has joined with FasterCapital' Launch Up Program.
I would appreciate your help of publishing this news...
Habari wana JF,
Naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wenye uzoefu. Nina biashara ndogo ambayo kwa wiki inaweza kuniingizia kati ya 50,000 hadi 100,000, ingawa sio kila siku kuna biashara...
Naomba mwenye Ujuzi kuhusu haya mambo anisaidie uelewa nimesajili Jina la Biashara Brela kwa Business activity 5920 - Sound recording and music publishing activities Main na 4791 - Retail...
Wanajamvi kwema!?
Ni viwanda au machimbo gani mtu anaweza kulangua jumla kwa bei ya kiwanda/chimbo na kwenda kuuza jumla na rejareja mkoani -diapers za watoto na watu wazima(makampuni...