Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nahitaji kujua toka kwa wafanyabiashara wa pikipiki au watu walionunua pikipiki tajwa siku za karibuni kwa Dar bei ni ngapi? Pia namba kufahamishwa ni idadi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu. Kuna hii mikopo inayotolewa kwa njia ya mitandao nadhani wengi wao tumekopa huko. Sababu wana ushawishi mkubwa mnoo wa matangazo yao M-pawa nilianza kukopa tangu nipo chuo...
9 Reactions
1K Replies
192K Views
Wadau nisaidieni bei ya Pool table kwa hapa Dar es Salaam na wapi naweza kulipata
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari, Kuna mradi wa viwanja vya Bei nafuu kigamboni, Moja ya sehem zinazokua kwa Kasi sana. Kuna kampuni ya property investors company Ltd Ina mradi mkubwa wa viwanja Mbutu na Cheka Kigamboni...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Greetings JF massive! Kama kawaida leo nimepata time nataka nikuonyeshe jinsi vile unavyoweza kufanya kazi kama Online Freelancer na kutengeneza kipato kizuri tu kwakutumia Skills ulizonazo +...
6 Reactions
96 Replies
12K Views
Maji na umeme upo. Kutoka site Hadi posta mjin au k/koo nauli ni 2300 Kwenda kuona site ni Bure. Tuwasiliane 0620175964
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Wasalam wanajukwaa. Mimi ni muajiriwa nimejichanga nikapata huo mtaji, nilikuwa naomba ushauri na namna ya kuanzisha biashara husiku hasa kwa Dar. Asanteni
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Wengi wanatamani kumiliki biashara kubwa kubwa, lakini mwisho wa siku wanakuwa ni watu wa kutamani tu, wakianzisha biashara kesho watafunga na wataamia nyingine na mwisho wa siku hakuna biashara...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Napenda kuweza kufahamu bei ya kuku ilivyo kwa sasa dar es salaam nafikir kufanya biashara hii
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu wa biashara inayohusisha bidhaa kutoka nchi moja na nyingine mfano kutoka Kenya kuja Tanzania kwa biashara ndogo ndogo za bidhaa Kama vile...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari za leo. Mjuze na asie na taarifa hii
1 Reactions
6 Replies
837 Views
Wakuu habari za majukumu Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi mtu kama alikuwa anadaiwa songesha, laini yake ikafungwa ukiisajili wewe ndo utatakiwa kulipa hilo deni?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu Nimeona watu wengi wakifanya biasha ya pombe Naomba kuuliza huvi mtaji wa kufungua min store ya pombe bei gan!! (Kama duka la kuuzia pombe).
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeisahau TIN yangu, hivi kuna njia ya kujulishwa na TRA au mpaka uende ofisini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza napenda kusema na kukiri wazi mimi ni mmoja wa wale waliokua wakiamini katika msemo ambao watu wengi sana hupenda kuutumia kwamba kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza huu msemo ni kweli...
17 Reactions
46 Replies
7K Views
Nchi ya Tanzania ina faida ya kuwa na maeneo ya Uvuvi makubwa katika mikoa mbalimbali. Karibu Kila mkoa kama hakuna mto mkubwa basi Pana Ziwa kubwa au hata bahari ambayo ni mazingira mazuri ya...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari wana JF. Mimi ni mjasiliamali, mkulima wa zao la katani na korosho wilaya ya lushoto huko ndiko nilikowekeza. Naombeni ushauri juu ya namna ya kuanzisha kampuni ya Drinking Water, maji ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…