Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi.
Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la...
Wakuu,
Nimetembelea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Airport kwakweli ni mzuri mno na unavutia sana sana hususani Terminal 3.
Ujenzi wake umebadilisha kabisa muonekano wa uwanja...
Habari wadau!
Wiki iliyopita nilikuwa natazama taarifa ya habari. Na miongoni mwa habari ilikuwa ni ya uzinduzi wa huduma za posta nadhani dodoma.
Mojawapo ya uzinduzi ilikuwa ni pamoja na...
Huwa nasikitika sana ninapotoa ushauri kwa watu wenye mitaji mikononi,hasa wale wanaotoa na kuandika thread kuwa wana kiasi "flani cha pesa" Je wafanyie nini?
Ukweli ni kwamba kila mtu hapo alipo...
Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output...
Mzoefu na hii biashara jamani nataka nianze,nipo location ambayo nahisi naweza kuanzisha;
1.Yanapatikana wapi kwa bei ya Jumla hapa Mwz au Dar.
2.Bei gani yanauzwa?
3.Utaratibu wa kukodisha upoje...
Wakubwa zangu nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha unga wa sembe ila kitu ambacho mpaka sasa kinanipa changamoto ni juu ya hawa watu TBS na TFDA.
Je, naweza fanya uzalishaji bila kibali toka...
Wakuu habari, hivi kibanda cha chips ukitaka kukifungua kama unayo leseni ya biashara kuna haja ya kupata kibali TFDA au hiyo leseni na TIN niliyonayo inatosha?
Naomba kuwasilisha na ningeomba...
Hapa nchini tuna taasisi nyingi sana lakini hazifanyi kazi yake ipasavyo,wahusika wanakula viyoyozi tu maofisini na kutumia kodi zetu vibaya lakini hakuna wanachokifanya.
Mwezi uliopita kwenye...
Ndugu zangu humu ndani!
Mimi ni mvuja jasho mwenzenu, nipo Mtwara Masasi, namiliki Hiace mbili ambazo kwakweli naona biashara imedorora kabisa.
Kuna wakati biashara haikuwa mbaya sana, Ila...
Waungwana naombeni michago yenu nipo kwenye njia sahihi au watu hawataki hivi vyakula tena maana nina mpango wa kufungua mgahawa mdogo na kupika vyakula vya asili peke ake
Sent from my SM-J500F...
Napatikana njiro 88 pick n pay
Room no 8
Arusha
Nauza nguo za mtumba za Watu wazima
Suruali za ofisi 10000
Ukipata kuanzia 5 bei8000
Magauni 10000
Skirt 10000
0762 998333
Habari ndugu zangu,
Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka!
Naomba msaada kwa anayejua
Hii sentensi ilikuwa inatumika sana enzi fulani.
Lakini kwa hali inavyokwenda katika Taifa letu, Kuna watu wachache wananufaika na wengi wanahangaika.
Wafanyakazi wa public sekta wamebaki...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.
Mizigo ni kava za simu
HABARI WANA JAMVI
Nahitaji Ushauri, natamani nianzishe biashara ya Jumla kuuza kitu cha aina moja,mbili au tatu tu,sasa ninajaribu kuangalia kati ya Cement, Mafuta ya kupikia au Sukari; etc...
Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa...