Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Naombeni msaada kama Kuna mtu anafahamu Wanapouza Vifungashio Kwa Bei ya Kiwandani kama vile chupa nzuri za kuwekea bidhaa au Kopo kama za kuwekea mafuta ya kupakaa mwilini iwe...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kutokana nafumuko wa bei za bizaa katka masoko je pesa ya Tanzania imeshuka au imepanda thamani na kwa nini?
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya...
1 Reactions
0 Replies
657 Views
Habari za jioni wakuuu,mimi ni mfanyabiashara wa nguo aina zote huwa nanunua mzigo wangu Kariakooo, nataka kufata mzigo China gharama zikoje. Natakiwa niwe na sh ngapi ili niweze kununua mzigo wa...
3 Reactions
65 Replies
32K Views
Anaeelewa hii kitu anijuze. wanakupa task za kufollow unaingiza dola moja per day. Pia Kuna levels. VIP 0 ni bure na ndio unaingiza dola moja per day na huwezi withdraw mpaka zifike 148 usd VIP...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Wadau, Naitwa Fredrick Mboma. Ni Mjasiriamali. Kuna sheria ndogo mpya inayoitwa Microfinance (Non-Deposit Taking Microfinance Service Providers) GOVERNMENT NOTICE NO. 679 Published On 13/9/2019...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari! Kama kuna mtu yeyote anauza rice cooker used kwa bei rafiki ya awamu ya sita, naomba anitafute. Bei elekezi ya mwaka wa fedha ni 30000/= Pesa ipo kwenye mfuko wa Shati hapa... Chap kwa...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Wakuu habari, Nauliza kama thread inavyosema. Unaweza kuweka pesa kiasi gani kwa mkupuo Watu wa benki wasishtuke na kuanza kukuuliza maswali kwamba umezitoa wapi unafanya kazi gani nk...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari wana JF Kumekuwa na sitofahamu kwa wachimba visima, haswa pale unapohitaji kuchimbiwa kisima, kila mmoja anataja gharama zake kwa anavyojisikia!. Hili ni tatizo! Napenda kufahamu kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Red Bull ni kampuni ambayo kama umefanikiwa kuona mojawapo ya matangazo yake ya kibiashara huwa yako very interesting. Inaonekana kwenye issue ya marketing wako serious na wanachokifanya. Mwaka...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
CAT usd 170,000/=, Liugong usd 112,000/=, Sany 117,000/=, Tata usd 111,000/=, Backhoe Usd 67,000/=. Serious buyers please contact 0754 889 999
0 Reactions
4 Replies
587 Views
Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha? 1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw...
3 Reactions
25 Replies
13K Views
Katika maisha upepo ukivuma usikinzane nao uelewe nature yake na uenende nao sambamba ili usikupige mweleka...muhimu ni kushabihiana nao. Cryptocurrency tunataka au hatutaki ndio nature ya digital...
10 Reactions
81 Replies
15K Views
Kipo mbezi beach kina ukubwa mita za eneo 19,000, near ocean ,near bagamoyo road,umeme,maji etc vipo Bei 1.5M,$ 0672134789
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Kama kuna mtu anaweza kunisaidoa jinsi ya kupata bidhaa za supermarket saada, Nilikuwa nahitaji kuaanza hii biashara kwa kutafuta tenda katika supermarket. 0678 36 77 07
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Nilihudhuria hii eventi Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa...
1 Reactions
0 Replies
943 Views
Habari Wakubwa, Mimi ni Kijana ambae nimeamua kuanza kujiajiri,nimefanikiwa kupata hela ya kununua bodaboda boxer ambayo nitaendesha mwenyewe. Naombeni ushauri wowote Au namna ya kuendesha...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu wangu? Natumaini ni wazima na mnaendelea na majukumu yetu ya kila siku. Mada kuu ni kama unavyo isoma hapo Teknology kwa maisha ya sasa imekuwa sana, kiasi kwamba hakuna Taifa...
3 Reactions
7 Replies
974 Views
Kipindi cha corona China kila kitu kilisimama na hali ilikua tete sana na biashara nyingi zilikwama. Na kwa upande wa aliexpress na alibaba na aliexpress pia biashara zilikwama kabisa kukawa...
3 Reactions
58 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…