Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Salama ndugu zangu? Kama ilivyo ada JF halishindikani jambo. Nina mpango wa kununua bodaboda na kuwapa vijana kwa mkataba. Wakimaliza mkataba zinakua mali yao. Kwa wenye uzoefu na biashara hii...
7 Reactions
42 Replies
26K Views
Bado natafuta soko la Kamba za katani. Mwenye kufahamu soko ama mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Nimeishi mikoa kadhaa tofauti na dsm kwa muda mrefu huku nikihama kutoka mkoa mmoja hadi mwingine... Ila kitu nilichokigundua ni kwamba bei za bidhaa hususan zile zisizosafirishwa kutoka mbali...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Kama ilivyokuwa kwa mitaa ya Pemba Kkoo na Samora posta streets enzi za 80's/90's, Azikiwe street(Zero Brain) 2000's, mtaa wa Agrey ndo mtaa unaoukua kwa kasi sana sasa hv kwa mishemishe za town...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Lengo la kuanzisha uzi huu ni kujuzana hali na taarifa ya masoko /jinsi ya kupata masoko kwa mikoa mbali mbali. Taarifa hizi zitakua zinatupa mwanga kujua ukijitosa kulima zao...
0 Reactions
2 Replies
463 Views
Kupitia orodha mpya ya Matajiri wa Dunia ya Bloomberg Billionaires Index, imeonesha nafasi kubwa na kiwango cha fedha alichowazidi matajiri wengine.
2 Reactions
7 Replies
969 Views
Mi nafikili vijana tukijikita kwenye kilimo na bishara tutatoka kiuchumi mi Leo nataka niwape vijana wenzangu Elimu kidogo kuhusu kilimo cha vitunguu swaum. Mimi ninauzoefu wa miaka 9 sasa...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Msaada wako wa mawazo constructive unahitajika sana unisaidie Mimi mtanzania. Wazo langu ni kuanzisha tuition centre Makambako. Itatoa Huduma ya masomo kwa Private candidate, Qualifying test...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Hello hii ni kwa MAwakala, ningependa kufaham mtandao gani una makato rahisi kwa njia ya lipa kwa mteja kulipia na kuamisha fedha Kati ya lipa ya tigo au lipa ya vodacom, mtanisaidia Sana kwa hili.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba ushauri mi ni mfanya kazi katika shirika la ulinzi nataka kufanya biashara kama nina elfu thelasini nifanyie biashara gani?
1 Reactions
156 Replies
81K Views
Habarini wakuu Nahitaji kwenda Dubai kununua accessories za simu hivyo ninaomba Kwa mtu mwenye uzoefu aweze kunipa mwongozo na connection kufanikisha Hilo Natanguliza shukurani:-
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajf? Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, Kuna kikampuni fulan jina ***** microfinance kinajihusisha na kutoa mikopo midogo mtaani Tena kwa dhamana ya vitu vya ndani kama vifaa vya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni kijana mjasirimali Nimepambana kwa muda hatimaye nimepata kaduka kangu kapo mjini kati Sasa kulingana na pesa zangu za kuungaunga nimeshindwa kujaza mzigo nipige pesa Nilikuwa...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Fursa kwa wawekezaji wenye uhitaji wa eneo la kuwekeza nina eneo la square meter 900,000 lenye plots 20 kwa matumizi ya viwanda na uwekezaji eneo lipo Mlandizi(Ngeta), eneo liko mita 30 kutoka...
2 Reactions
1 Replies
708 Views
Kutokana na changamoto ya kupata mtaji hii nawaletea njia ya kupata mtaji hii imekua Njia rahisi zaidi ya kupata mtaji kwa urahisi bila riba riba ni uaminifu wako tuu. Chakufanya ili upate mtaji...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wa JF Nataka kufanya biashara ya kuuza vocha za jumla lakini sijajua nanunua wapi hizo vocha,ukiwauliza wauzaji wa jumla kila mmoja anapiga chenga wengine wanasema hazina faida..mimi...
2 Reactions
12 Replies
12K Views
Kama unatangaza Biashara yako Online.. Bila shaka Unatafuta Wateja wa Online Wateja hawa, sio kwamba wana utofauti sana na wateja wa kawaida (offline),...ambao wanaweza kuja dukani kwako kabisa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Naam tunaimalizia August,,, Back then nikiwa chuo(sikufanikiwa kupata boom) Kuna michongo nilikuwa nafanya ili kidume ni-survive mjini,,, ! Hii ilipelekea performance kushuka Sana, mda mwingine...
5 Reactions
5 Replies
922 Views
Habari zenu waungwana Naomba kufahamu bei ya frame kwa mwezi maeneo muhimu hususani mjini kati kwenye majiji na mikoa inayokuwa kwa kasi Mwanza Arusha Dar es salaam Tanga Dodoma Mbeya Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27 Mama yangu kanipa...
5 Reactions
84 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…