Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mwaka 2008, Elon Musk alikuwa milionea aliyetoka tu kuuza PayPal kwa mamilioni ya dola. Lakini miezi michache baadaye, alikuwa hana hata senti ya kulipa kodi ya nyumba—akikopa pesa kwa marafiki...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Wafanyabiashara wa Kata ya Majohe tunalalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya maafisa biashara wa kata hiyo, ambavyo tunaviona kuwa vya unyanyasaji na vinavyoathiri shughuli zetu za...
2 Reactions
3 Replies
122 Views
Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu...
1 Reactions
2 Replies
43 Views
Jamani napenda kuwatahadharisha kwamba muwe makini sana na bidha zinazotengenezwa na kampuni ya WESTPOINT. Nilinunua fridge mpya hivi karibuni Quality Plaza. Baada ya wiki moja ikaharibika...
4 Reactions
42 Replies
19K Views
🩺 PIMA PRESHA NYUMBANI! Afya Yako, Mikononi Mwako. Wamechoka kwenda hospitali kila siku kupima presha? Sasa pima mwenyewe nyumbani - Haraka, Rahisi & Sahihi! ✅ Screen Kubwa LED - Rahisi Kusoma...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Mara kadhaa nimekuwa nikitumia Internet ya airtel katika kufanya shughuli zangu mbalimbali kama vile katika kukata tiketi za SGR. Aidha, hivi karibuni imekuwa tatizo katika kufanikisha...
0 Reactions
1 Replies
35 Views
Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia...
2 Reactions
11 Replies
129 Views
Aisee hivi alieanzishaga mambo ya pikipiki ya mkataba kwamba unampa boss hesabu baada ya muda flani chombo inakuwa yako ni nani? Biashara karibia zote nikwamba unafanya kazi nakulipa then chanzo...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Karibu mchele bei ya jumla Tsh 1900/=
1 Reactions
10 Replies
299 Views
BIASHARA NYINGI ZENYE FREMU ZINAKOSA WATEJA, LAKINI BIASHARA ZA MTANDAONI ZINAENDELEA KUPATA WATEJA Leo hii, unaweza kutembelea maeneo mbalimbali ya biashara na kukuta maduka mengi yenye fremu...
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Wafanyabiashara wengi hupoteza fedha kwenye matangazo kwa sababu wanatangaza kwa kila mtu bila kuelewa mteja wao lengwa ni nani. Kabla ya kuanza kampeni ya matangazo, jiulize: Mteja wangu ana...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Usiwe mwekezaji wa fedha nyingi kwenye matangazo kabla hujajenga utambulisho wa biashara yako. Katika biashara, watu hawahitaji tu kujua unachouza, wanahitaji pia kujua wewe ni nani, una utaalamu...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Saccos ipi nzuri kujiunga kwa mwanachama
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Juma alikuwa na ndoto ya kufungua biashara ya dobi (Laundry & Dry Cleaning). Alinunua mashine ya kufulia, pasi na vifaa vingine, kisha akaanza kupokea nguo za wateja. Mwanzoni biashara ilienda...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Kuna kijana mdogo aliyekuwa amevutiwa na biashara ninazofanya, akaomba ushauri na mwongozo ili aanzishe duka lake. Kwa kuwa yeye ni mwajiriwa, alimuweka binti mmoja kusimamia biashara hiyo...
8 Reactions
22 Replies
902 Views
1. UTANGULIZI Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
Tunauza Detectors za madini(Gold) 1.Garrett Goldmaster 24k 2.Garrett Axiom Lite 3.Garrett Axiom 4.Gold Monster 1000 5.Gold Fisher Tunauza Machine Za Ujasirimali 1.Peanut butter machine 2.Pallets...
1 Reactions
0 Replies
36 Views
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
https://youtu.be/MGQpSnlHZJU Unakopa TSh milioni 10, halafu unarejesha karibu milioni 19.4? Huu ni mfano wa mkopo wa miaka mitano, wenye riba ya 30% kwa mwaka (nominal), inayokokotolewa kwa...
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
0 Reactions
7 Replies
650 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…