Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; (a). Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni...
1 Reactions
1 Replies
135 Views
Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu ni uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia...
3 Reactions
6 Replies
708 Views
Kiatu hiki nimekipenda sana na ninakitaka, je nawezaje kukinunua bila kupoteza fedha zangu, maana bei yake baada ya kubadilishwa na kuwa ya kitanzania inavutia sana!
1 Reactions
6 Replies
214 Views
Mamlaka husika tunaomba ufanyike uchunguzi kuhusu mgodi unaomilikiwa na Wachina uliopo Mkoa wa Geita, Wilaya ya Katoro, Kijiji cha Matanda, kutokana na madai ya kutokufuata sheria na taratibu za...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo...
4 Reactions
21 Replies
681 Views
Za mda huu wakuu. Nimepata changamoto hapa kazini kuna duka tunauza magodoro na mimi nimekuja hapa sio mda mrefu mana ni la familia,sasa changamoto ni kuhusu wateja kununua godoro baada ya muda...
2 Reactions
4 Replies
170 Views
Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Section 72 of VAT Act, Cap 148 (R.E 2023) allows a taxable person a tax credit for an amount of input tax incurred for the respective period. There is a possibility that you are doing it wrongly…...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Anonymous
Mawakala wakuu wa mtandao wa Halotel Tanzania upande wa HaloPesa, tunaiomba kampuni itolee ufafanuzi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo yetu ya kamisheni bila sababu za msingi. Awali tuliambiwa kuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mjasiriamali, Kuna compliances 19 ambazo ni lazima uzifanye through out the year ili Kampuni yako ibaki salama. Nilikua natafuta njia ya kuziandika zote hapa nimegundua itakua ni long boring...
2 Reactions
4 Replies
177 Views
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER ⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na...
2 Reactions
3 Replies
182 Views
Najaribu kufikiri kama Mswahili. Hivi kwa nini Afrika tushindwe kutumia akili nyingi zaidi kuwawezesha watu wetu kiuchumi? Kwa mfano, suala la mikopo kwa watu wenye ajira. Nimeona wengi, licha ya...
0 Reactions
5 Replies
173 Views
Habari wataftaji wenzangu. Natafuta fremu niweke spea za pikipiki hivyo kama unajua sehemu kuna gereji ya pikipiki kwa dar ila hamna duka la spea nijuze. Pia kama wewe ni fundi mzuri...
1 Reactions
3 Replies
234 Views
Habari zenu wakuu. Nahitaji msaada wa kupata soko la ngozi za ngombe kwa hapa nchini hata nje ya nchi.
4 Reactions
13 Replies
254 Views
WAHI SASA KABLA BEI HAIJAPANDA, USICHELEWE KUWEKA ODA YAKO 1. ✅ Banner 10,000 / meter 2. ✅ Stika 9000 / meter 3. ✅ Vitabu vya risiti 4000 Tsh size A6 4. ✅ Business cards pc100 Tsh 20,000 tu 5. ✅...
3 Reactions
6 Replies
104 Views
DCB stock is mooning! Back in the days wakati naijua financial markets I was so eager to buy stocks on DSE, and yes just like a lot of newbies In Tz, I started with CRDB Shares. Considering my...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu wasalaamu. Naomba anayeweza au anayejua anisaidie kwenye kusajili local content Nimejaza taarifa zangu za Register kwa mfumo, ila sijapata hata email ya kuconfirm au kutengeneza log in...
0 Reactions
3 Replies
118 Views
Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni...
2 Reactions
0 Replies
263 Views
Biashara ya nafaka ni biashara nzuri sana. Nimefanya tafiti toka mwaka 2021 nemegundua kuwa mahindi Huwa yanashuka sana mwezi wa 7 Hadi 9 bei hufika Hadi tsh 6000 kwa debe moja(Lita 20) kwa...
9 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…