Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwema wana jamvi? Kama kichwa cha mada kinavojieleza naomba ushauri wa buashara kwa mtaji wa Mil 10. Kuna biashara nilikua nafanya,nilikua napata faida nzuti na mtaji kukua sana ila baadae ikawa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau Mimi ni mfanyabihashara ya Tigo pesa na Mpesa, nimekuja kugundua ghafla commission imeshuka, na kugundua kwamba binti niliye muweka dukani ana line ya lipa namba ya Tigo, so mteja akija...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu, Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji. Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories. Nilianza...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi mkulima wa pilipili mwendokasi niko Dodoma mvumi. Naomba nipate connection na madalali wa masoko ya Dar es Salaam
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau! Huu nimuda wa kutangaza na kupenda vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu mtu moja moja na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Taja jina la online business ambazo sio za kitapeli pia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nauliza kwa mwenye uelewa wa biashara ya tairi za magari mapya magari makubwa na madogo..Aina za makapuni tairi zinazonunulika haraka na imara kwa kipato Cha kawaida na wakipato kikubwa
2 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji3463]BF SUMA Company Profile...... [emoji1911]Maana ya BFSuma ni [emoji1607]B- Bright ,,=mwangaza [emoji1607]F-Future ,,=ndoto/malengo [emoji1607]S- Superior ,,=ubora...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari ya majukumu! Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza...
1 Reactions
0 Replies
886 Views
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli. Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari zenu, Naomba msaada kwa mtu anayejuwa wapi naweza kununua Rennet ya kutengeneza cheese. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
995 Views
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100...
7 Reactions
84 Replies
13K Views
Habari wana jamvi, nimeiweka mada kama ilivyo hapo juu mm sina uzoefu na kitu chochote kuhusiana na mambo hiyo kitu pi. Kuna siku uliingia ujumbe katika cm yangu na namba ngeni ukielezea vitu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji wadada wawili kufanya kazi saluni ya kike maeneo ya Pasiansi Sokoni mkoani Mwanza...kwa maelezo zaidi piga simu namba 0657201120 or 0678369477
2 Reactions
1 Replies
564 Views
Nafanya kazi na watu tofauti kutoka mikoani. Mimi napatikana Dar, Mbezi Mwisho watu wanaotaka kununuliwa mizigo au kufanyiwa shughuli zao kwa ufasaha angali wapo mbali. Kwa msaada wa kitu...
1 Reactions
2 Replies
605 Views
Habari wakuu Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA. Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Takwimu zinaonyesha kwamba aslimia 75% ya fedha zinatolewa kwa Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) hutoka kwa mtu mmoja mmoja (Individual Donors) na asilimia zinazobaki hutoka kwenye Taasisi...
3 Reactions
0 Replies
586 Views
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unafaida nyingi kwa watanzania ikiwemo: 1. Utoaji wa ajira, mpaka sasa mradi huu wa SGR umetoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 20 na kulipa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, Heshima kubwa kwenu maana mmekuwa msaada Sana kwa vijana katika harakati za kujikomboa na umaskini na kuacha utegemezi wa ajira baada ya kumaliza vyuo maana umekuwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…