Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wana JF, Nimeanza kujifunza kuhusu soko la hisa na wakati nasoma ripoti ya DSE kuna maneno nimeyaona ambayo sijaelewa maana yake hivyo ningependa kupata ufafanuzi kwa anayeyafahamu. 1...
1 Reactions
0 Replies
535 Views
Wakuu, nipo hapa kupata mawazo kuhusu hii biashara kwa watu ambao washawahi kuifanya au ambao wanaijua vizuri. Kuna dogo yupo yupo tu hapa nyumbani kwaio nataka nimpe kazi kwa kufungua hili duka...
6 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello guys naomba kwa anaejua huduma ya hii kununua, kuagiza,vitu kupitua [emoji117] jiji
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Unakuta Showcase nzuriii, inavutia ukimuliza fundi hii ni mbao ya mti gani? Anakuambia Mbao ngumu, kumbe ni haya ma play wood na sijui MBF. Unafika nyumbani jichanganye likae sehemu yenye maji...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Habari za Majukumu, Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili: TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Habarini Wana JF,, Kama kichwa kunavyosem natak niwekeze io sekta nitafute vijana wapige kazi. je faida yake ipoje na changamoto zake. nahitaj ushaur kwa wenye kuijua hii biashara. @everyone
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions. Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa...
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Habari JF Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
1 Reactions
6 Replies
956 Views
Hapa mbagala Rangitatu kwenye daraja la mwendokasi la wavuka kwa miguu kwanza daraja hili lina vitu viwili Designing nzuri, limejengwa kwa myindo wa ku-extend kwa upana pande zote mbili pili...
6 Reactions
6 Replies
709 Views
Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri. Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana...
27 Reactions
414 Replies
213K Views
Habari za muda huu wana JF. Mimi ni mjasiriamali wa muda kidogo. Nimekuwa nikifuatilia sana upatikanaji wa mashine ya kutengeneza toilet tishue kwa hapa kwetu Tanzania bila mafanikio yeyote...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Caustic Soda kilo 3, Mafuta ya mawese lita 20, Sodium Silket, Maji lita 10, Rangi ya bluu 100gram. Jinsi ya kutengeneza hatua kwa hatua 1)-Chukuwa caustic soda changanya na maji na uanze...
12 Reactions
24 Replies
4K Views
looks like all set,I was heading to the airport today and more than 6 new cars getting out at 6 AM, looks busy, they have put flag and new board with all the information, You now know the...
2 Reactions
61 Replies
33K Views
When you want to do or achieve something or you want to be somewhere, then two things will help you to. One thing will help you to start and the other will help you to keep going even if you do...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
Wadau naombeni nisiwe na mambo mengi naombeni kujua yeyote aliyewahi agizia mzigo Alibaba ulimfikia vipi na ofisi za agent zao hapa Dar zipo wapi? Mimi nina experience na Kikuu nimeagiza sana na...
5 Reactions
125 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…