Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,331
47,076
BRT (BUS RAPID TRANSIT) ya jiji la Dar yatajulikana kama DART dar es salaam rapid transit, yanajulikana kama mabasi yaendayo kasi kwa kuwa yanakua na barabara zao maalumu na pekee, na sio yana mwendo wa kasi kama watu wengi hufikiria, watu wengi hujiuliza mwendo kasi barabara zenyewe ziko wapi dar? mabasi haya yanakua na njia zake amabazo magari mengine hayataruhusiwa kupita, na kuyafanya yawe ya haraka kwani hayatakua na foleni, (BRT ONLY) ni njia ya mabasi hayo tuu, sijui kama wabongo watakua wastaarabu kwa kuheshimu njia hizi, wakazi wanatumia morogoro road wataanza kunufaika na mradi huu, kwani awamu ya kwanza ishaanza .kama una picha yoyote ya kituo au chochoke kinachohusu mradi huu tafadhani share, thanks





DART PHASE 2 WILL START SOON WITH TWO FLYOVERS, I GUESS ONE AT VETA JUNCTION AND THE SECOND ONE AT TIA


WHAT IS BRT? NI NINI MAANA YA MABASI YAENDAYO HARAKA?/ KASI , PATA BASIC KNOWLEDGE HAPA CHINI YA HII VIDEO,
KWA KUWA MABASI HAYA YATAKUA NA NJIA ZAO PEKEE, HAYATAKUA NA FOLENI NA KUYAFANYA YAWE YA HARAKA, MFANO WATU KWA SASA WANAOTUMIA MOROGORO ROAD WANATUMIA MASAA KIBAO NJIANI, LAKINI WAKIPANDA MABASI YA DART WATATUMIA DAKIKA KADHAA TU KUTOKANA NA UHARAKA NA KUTOKUA NA FOLENI, PIA, KUNA WATU WANASEMA MABASI YA KASI HAYATAPUNGUZA FOLENI, , OK INAWEZA KUPUNGUZA KWA NJIA HII, MADALA DALA MENGI YAKUA REPLACED NA BASI MOJA, HIVYO KUPUNGUZA IDADAI YA MAGARI BARABARANI, PIA WATUMIAJI MAGARI BINAFSI WANAWEZA KUJIKUTA WAKITUMIA USAFIRI WA DART NA KUACHA MAGARI YAO KWENYE PARKING NJE YA JIJI , NA HIVYO KUPUNGUZA IDADI YA MAGARI BARABARANI. SIDHANI KAMA MTU BADO ATATAKA KUENDESHA GARI LAKE ASHINDE KWENYE FOLENI MASAA YOTE APOTEZE MUDA, HELA YA MAFUTA YAKE NA AHARIBU SHUGHULI ZAKE WAKATI BASI LA DART LINGEMFIKISHA KWA HARAKA NA GHARAMA NAFUU, HIVYO NDIO MABASI HAYA YATAKAVYOPUNGUZA IDADI YA MAGARI BARABARANI, ANGALIA VIDEO HII UNAWEZA KUJIFUNZA NINI MABASI YANEDAYO KASI NA FAIDA ZAKE. ANGALIA TU PICHA LUGHA INAWEZA KUWA NOT REACHABLE, DART WANATAKIWA WATOE ELIMU YA MFUMO HUU KWA WANANCHI SIO KUKAA TU KIMYA. WATU WANAWAZA WATAKAVYOKUWA WANAGONGWA NA MABASI KASI, KUMBE SPEED INAWEZA ISIFIKE HATA 60KM/HR





DAR ES SALAAM BRT


BRT Bus at Morogoro/Bibi Titi road stop

BRT Bus at Morogoro/Bibi Titi road stop by skiligo, on Flickr

BRT Bus at Morogoro/Bibi Titi road stop by skiligo, on Flickr

BRT Bus at Morogoro/Bibi Titi road stop by skiligo, on Flickr

BRT Bus POSTA YA ZAMANI

Posta ya Zamani BRT Bus stop by skiligo, on Flickr



BRT Bus by skiligo, on Flickr

BRT Bus at Posta ya Zamani Bus stop by skiligo, on Flickr


Dar es salaam BRT Bus by skiligo, on Flickr

Dar es alaam BRT bus by skiligo, on Flickr


Posta ya Zamani BRT Bus stop by skiligo, on Flickr

Dar es salaam BRT Buses by skiligo, on Flickr

Dar es salaam Rapid Transit Bus along Kivukioni Front by skiligo, on Flickr



Dar es salaam BRT Bus by skiligo, on Flickr

Dar es salaam Rapid Transit Bus along Kivukoni front by skiligo, on Flickr
 
Last edited by a moderator:
Looks good, ratiba ya hizo phase inasemaje? Na hapo mjini kuna mpango wa kubomoa? Maana sioni barabara mpya itapita wapi.
 
Pichani inaonekana nzuri sana ila watu watakuwa wanapita wapi kuja kuyapanda hayo mabasi???
nimeona nchi ya Peru wanatumia haya mabasi na kuna ukuta umewekwa mrefu kiasi ili magari mengine yasiweze tumia sijajua kwa bongo itakuwaje katika kuzuia magari ya kawaida???
 
washaanza kubomoa ,soko la big brother, nadhani kuna vituo maeneo kibao, kama unavyoona kutakua na vituo kama 29, nadhani viko underconstruction, pale kivukoni pia wachina wanafanya mambo
check this
From PETER TEMBA in Moshi, 5th December 2010
THE government has contracted a Chinese firm, Beijing International Engineering Group (BCEG), to put up the first phase infrastructure of the Dar es Salaam Rapid Transport System which will cost 39.6bn/-, a report to mark the 10th Anniversary of the Tanzania National Roads Agency (TANROADS) has revealed.
Under the first phase of the project, roads stretching 20.9 kilometres will be constructed and that there will be two workshops, five main stations and six feeder stations, as part of the whole project comprising six phases covering a total of 130.3 kms.
The report says, the project was intended to check the increasing traffic congestion on Dar es Salaam City roads, increase productivity of workers by reducing substantially time spent in traffic jams.
The project also aims at reducing operation costs incurred in terms of fuel consumed in such traffic jams, says the report, revealing that the first phase of the project is divided into seven lots each of which are in turn divided into two sub-lots.
Sub-Lot one involves construction of a 10.4 km road from Kimara up to Magomeni while sub-Lot two involves construction of 10.5 km road from Magomeni to Kivukoni, part of Kawawa Road from Magomeni to Morocco and Msimbazi Road from Fire Station to Nyerere Road Junction.
The second Lot involves building of workshops, main and feeder stations at Ubungo which will also include improvement of Ubungo Up-country Bus Terminal. The contract for this sub-Lot was signed on August 9, this year between the government and BCEG at a contract sum of 14.6bn/-.
The report further discloses that in the third lot, a bus workshop at Jangwani will be constructed while in the fourth Lot a main feeder bus station at Kivukoni will be constructed and the contractor, BCEG, has been assigned the work which will cost 5.01bn/-.
The building of a main and feeder bus station at Kariakoo near KAMATA has been assigned to the same contractor at a cost of 6.35bn/. This fifth Lot will be implemented in the fifth phase.
The report says 6.35bn/- will be spent to construct six feeder bus stations at Shekilango, Urafiki, Magomeni Mapipa, Fire, Kinondoni and Mwananyamala in the sixth Lot. The 7th Lot involves relocation of electricity infrastructure along the project area and this assignment was given to Spencon Services Limited at a cost of 5.6bn/-.
Supervision and consultancy services for all the project works will be the responsibility of SMEC International Pty Limited at a cost of 1.7bn/
 
3-8.jpg
 
Pichani inaonekana nzuri sana ila watu watakuwa wanapita wapi kuja kuyapanda hayo mabasi???
nimeona nchi ya Peru wanatumia haya mabasi na kuna ukuta umewekwa mrefu kiasi ili magari mengine yasiweze tumia sijajua kwa bongo itakuwaje katika kuzuia magari ya kawaida???
kwa kuwa peru ni nchi mojawapo ambayo DART walienda kufanya uchunguzi na kijifunza wanavyoendesha mpango huu, ni dhahiri watafanya kama walivyojifunza huko, pia walienda india na US, wanaweza kuweka kaukuta ila wabongo walivyowabishi wataingia tuu katika hizo barabara, kuwakomesa ni kuwapiga faini, hapa nilipo kila makutano ya barabara kuna camera, ukivuka taa nyekundu tu, ushapigwa fine, au ukipita barabara za daladala zao, BUS LANE, kuna kipindi katika TV, kikieonyesha wapi kuna msongamani, wapi wanavunja sheria na wapi kuna ajali, watu wanashughulikiwa iasavyo, polisi wabongo wangukua na akili, hata waingekua masikini, ni kuinvest katika security cameras, watapata mapato kibao kutoka kwa wavunja sheria , hata vibaka, maeneo ya watu wengi, du ila nchi yetu mpaka tujute
 
Barabara za bongo zina eneo kubwa katikakti, mfano kilwa raod, sam nujoma road pia haya mabasi hayahitaji barabara kubwa sana,
angalia mfano wa kituo cha mabasi yaendayo kasi,
mifano hii si ya DART, source skyscrappercity forum
kinrapid12.jpg

kinrapid4.jpg

kinrapid8.jpg
 
Mimi nitaamini pale hayo mabasi yatakapoanza kufanya kazi.

usijali, mradi huu ulianza kuongelewa zaidi ya miaka kumi iliyopita, sasa ujenzi umeanza na world bank washatoa hela, ukiangalia kivukoni kazi imeshaanza, tusubiri kwani pia kuna wamiliki daladala ambao wanaona mradi huu utaua biashara yao, viongzi wetu wametufanyia mambo mpka hatuamini wanachokisema, teh teh, nami nasema nasubiri kuona mabasi hayao yanaanza kufanya kazi.
 
mfanyabiashara mmoja ("lion" coach) ameshaanza kumarkert mabasi yaka ambayo naona hayafanani na either dalala za kawaida nor basi za mikoani, au analenga mradi huo!?
 
Haya ni yale yale tunayoambiwa kila siku: Upembuzi yakinifu umefanyika, mtaalam mshauri amepatikana, mchakato wa zabuni unaendelea, wafadhili/wadau wa maendeleo wameonyesha nia, benki ya dunia imetoa "no objection" n.k. yetu macho!
 
mfanyabiashara mmoja ("lion" coach) ameshaanza kumarkert mabasi yaka ambayo naona hayafanani na either dalala za kawaida nor basi za mikoani, au analenga mradi huo!?
inawekana, itakua ni vizuri kutumia mabasi ya wafanyabiashara wazawa, mabasi yanayotumika katika mfumo huu hayafanani na mabasi ya mikoani mara nying ni ya chini chini rahisi kupanda nakushuka, na yanaweza kuwa marefu kama yameunganishwa, wanaita articulated bus, pia seat zake sio kama mabasi mengine seat zinaweza kuwa za plastic
bonyeza hapa kuangalia MABASI YAENDAYO KASI YA MITAA YA BEIJING CHINA
http://www.chinapage.com/transportation/brt/bjbrt.html
 
Haya ni yale yale tunayoambiwa kila siku: Upembuzi yakinifu umefanyika, mtaalam mshauri amepatikana, mchakato wa zabuni unaendelea, wafadhili/wadau wa maendeleo wameonyesha nia, benki ya dunia imetoa "no objection" n.k. yetu macho!

Kwa sasa tutashangaa kama ujenzi utasimama na labda wakasema world bank wamechukua hela zao, au tulipata contractor feki, alileta picha za magreda na wafanyakazi, vifaa vyote aliazima , alivyosiani tu mkataka akavirudisha kwa mwenyewe naye akala kona na fedha zetu, labda mpaka uchaguzi upite ichagueni ccm ili tuweze kupata mwekezaji mwingine amalizie kazi, teh teh, CHILLAX, ila mimi ninachoogopa ni kwamba kuna awamu kama sita , nadhani hii ya kwanza ambayo imeanza itamalizika halafu zingine wataanza kuzingua kwa sababu mbalimbali, hii hapa nauhakika itamalizika, tuombe mungu, tumechoka na foleni na kubanana kwenye daladala
 
Back
Top Bottom