Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika. Taarifa zao hizi hapa Toa maoni yako
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Natafuta mlima Wenye hii miamba yenye mawe meusi ya kung'aa.0785500609
0 Reactions
13 Replies
884 Views
Wakuu mwenye uzoefu na hii biashara atupe nondo Faida yake,mtaji na changamoto zake Location nzuri hasa kwa jiji la Mwanza na viunga vyake. Asanteni
1 Reactions
4 Replies
3K Views
MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Kwa majina naitwa Jerry na ninajihusisha na uuzaji wa magari used nikiwa kama dalali kwa muda mrefu ndani ya Dar es Salaam. Leo ningependa kushare nanyi kuhusu biashara hii ya magari hasa...
21 Reactions
73 Replies
11K Views
Wakuu, hongereni kwa mapambano ya hapa na pale katika kuutafuta mkate wa kila siku, pengine kutengeneza ziada ya kufaa kesho. Mniwie radhi kwa kuwa niliahidi kila baada ya miezi sita nitakuwa...
33 Reactions
78 Replies
13K Views
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa...
2 Reactions
27 Replies
11K Views
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Je Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani? Je unakamatwa na trafiki barabarani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natengeneza furniture material block board /melamine board Nakaribsha mbia
1 Reactions
8 Replies
790 Views
Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi. Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Salary 1.5 m net Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja. Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi. Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka Malipo awamu tatu...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu? Kwanini Shilingi inadhidi...
4 Reactions
3 Replies
830 Views
Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba...
0 Reactions
6 Replies
650 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…