Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Price:3 mil Location:Mwanza Contact:0786673553 Engine:200 cc
4 Reactions
9 Replies
605 Views
Tunakodisha eneo la wazi la kufanyia shughuli mbali mbali kama sherehe, maafali, kipaimara nakadhalika... karibuni sana Kwa mawasiliano piga; 0684101707
4 Reactions
2 Replies
492 Views
Wadau naomba kufaham japo kwa uchache kuhusu uanzishwaji wa online tv ambayo labda kwa kuanzia itafanya kazi Dar es salaam tu! Nifaham kuhusu vibali vya TCRA, gharama za camera, mic na nyenzo...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Naomba kupata uzoefu kwa mwenye uelewa juu ya hizi mashine za kusafisha maji chumvi kuwa maji safi ambazo kwenye baadhi ya miji zimefungwa na zimekuwa msaada sana kwa maeneo yenye adha kubwa ya...
1 Reactions
1 Replies
537 Views
Habari za usiku watanzania wenzangu.. Naomba kuuliza hili jambo kwa wanaofahamu.. Nimekuwa na mpango muda mrefu wa kuanzisha NGO itakayojihusisha na nyanja fulani ya maisha ila nikawa nasuasua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha...
3 Reactions
1 Replies
372 Views
Habarini Wadau? Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie...
1 Reactions
3 Replies
458 Views
“NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE” Apiga marufuku wageni kwenda kununua madini machimboni Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la...
0 Reactions
3 Replies
505 Views
Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Habarini wakuu, Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Kisiwa cha Mafia ni mojawapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Pwani. Kutokana na aina ya wakazi wa kisiwa hiki kuegemea sana kwenye shughuli kuu ya uvuvi na kilimo cha nazi...
2 Reactions
3 Replies
779 Views
Habarini za muda huu ndugu Watanzania. Naomba kujuzwa ni wapi wananunua chenga za mchele kwa hapa Dar es salaam. Kwa wale mnaojua chenga za mchele ni wapi zinanunuliwa zinazotokea mikoa mbali...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa namna maarifa yanavyozidi kuongezeka kuna bidhaa nyingi zinaweza tengenezwa ukiwa nyumbani tu kikubwa ujikusanyie malighafi Kwanza. Mimi binafsi nmejifunza vitu vingi na nisingependa kuwa...
16 Reactions
99 Replies
25K Views
Rafiki yangu mpendwa, Inapokuja kwenye fedha, watu wamehangaishwa na mambo mengi ambayo yamekuwa hayafanyi kazi. Kumekuwa na njia nyingi za mkato zinazowaahidi watu utajiri wa haraka tena bila...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Vinauzwa kwa bei nafuu; Kitanda 5x6. = 120,000/= Godoro dodoma 5x6 inch 8 = 120,000/= Kabati la nguo. = 120,000/= Mtungi wa gesi, jiko na Meza. = 150,000/= Coffee table. = 70,000/= Friji ndogo...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
💼 MHADHARA WA 11: Hakikisha uzito wa VICOBA/au MICHEZO YA KUPEANA HELA unayocheza usizidi Mzani wa MFUKO (UCHUMI) wako. Kwa mfano upo kwenye uanachama wa VIKUNDI VYA MICHEZO YA KUPEANA HELA au...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Habari wanajamvi, Kwanini waotokea mikoa ya Arusha, Njombe, Iringa, Kilimanjaro wanakuwa fiti kifedha na kibiashara hata kama ni vijana wa umri mdogo? Natumai nitapata majibu ya kuridhisha.
5 Reactions
75 Replies
16K Views
Wakuu, wale wenyewe experience ya aina hizi mbili za businesses ipi inaweza ikaleta manufaa kwangu? NB mi mwenyewe ni fundi ila nitakua sikai mimi labda mi nitakua nakaa kuanzia jioni. Sababu nina...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom