Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ili kukuza sekta ya uchumi na viwanda serikali ya Tanzania iondoe kabisa aina zote za ushuru na kodi katika kuagiza mashine mbalimbali zinazoagizwa china na kwingineko, hii itasaidia kustawisha...
4 Reactions
2 Replies
115 Views
Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na...
1 Reactions
8 Replies
667 Views
Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5...
5 Reactions
25 Replies
371 Views
Habari wadau Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi Njoo nipe specifications za...
6 Reactions
31 Replies
539 Views
Nawaza tu ni kama kesi inalipa ile inaweza pata mnunuzi..
1 Reactions
12 Replies
181 Views
MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Kampuni inayojiita DEV Magari Broker and Auctioneer Limited wakijihusisha na Uuzaji wa magari na utoaji wa mikopo hawa watu ni matapeli Kampuni hii Iko pale Banana jijini Dsm..... Mnakubaliana...
7 Reactions
11 Replies
317 Views
Wadau ambao mshawai kufanya au bado mnafanya biashara ya duka la mangi katika mitaa mbalimbali DSM huwa zinamuhitaji mtu awe na mtaji wa kiasi gani Mbinu na strategy zipi zinatumika kukua kwa...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Kwema wakuu Kwa mwenye kufahamu upatikanaji wa almonds kwa bei ya jumla anijuze popote mm nafika Msaada tafadhali
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Wakuu salaam. Kuna shamba ekari 2 linauzwa. Shamba liko Kibaha eneo la Misugusugu umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara kuu ya Dar Moro. Shamba linafaa kwa ajili ya kilimo, mifugo, makazi au...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anaishia kusifia "Hongera kwa kumiliki kiwanda cha "Think big start small"
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2...
1 Reactions
5 Replies
315 Views
Anonymous
Mfumo wa utendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta foleni kubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana...
2 Reactions
3 Replies
212 Views
Nimegundua watu wengi wanaonunua maeneo na majengo ya kuanzia Tsh 500M mpaka 5B hapa jijini Dar, wengi wao wana umri wa kuanzia miaka 50. Ni nadra kukuta kijana wa miaka 30 ananunua viwanja vya...
11 Reactions
96 Replies
1K Views
Wasalaam! Je, una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji wa kuanzisha? Hii ni fursa yako. Nina mtaji wa TSh Milioni 10 na kutokana na majukumu mengi ya kazi nashindwa kujigawa, ninatafuta...
9 Reactions
27 Replies
412 Views
Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi...
6 Reactions
19 Replies
539 Views
USHAURI WA BIASHARA KWA MTAJI WA TZS MILIONI 30–50 (DAR ES SALAAM) Habari wadau, Nina mtaji wa kuanzia kati ya TZS milioni 30 hadi 50 na nipo Dar es Salaam. Naomba ushauri wenu kuhusu biashara...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Michael alianza maisha ya kazi akiwa kijana wa kuajiriwa katika sehemu ndogo ya kuosha magari. Kila siku alikuwa akifika mapema, akibeba ndoo za maji, sabuni na vifaa vya kusafishia magari. Malipo...
1 Reactions
8 Replies
416 Views
Utaeikia ili ufanikiwe kwenye biashara unahitaji Mfumo …! Ambao hauuhitaji uwepo wako asilimia 100 uwepo kwenye biashara . Utasikia motivation Speaker wanaongea …. ………Wafanya biashara wakubwa...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…